Mtu mwenye msimamo

Mtu mwenye msimamo

Kwani kama kaoa ndiyo hatakiwi kuweka mambo yake wazi?

Mambo gani?

Hujaeleweka, funguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema hivyo kama tahadhari..wengi ukiwaulizia kuhusu nafasi zao ktk jamii kama ndoa na watoto ukimbilia kinga ya privacy lakini wakiwa wanahitaji public sympathy ujitanabaisha kama public figures (meaning kwamba Mambo Yao yanapublic impact) Depends on how they want to play (double standards mostly).... Hopefully umenielewa
 
nme andika sentensi mbili tu umekuja na risala ya kulazisha u genius haya umeshinda
These things are relative.

There is no objective standard.

So, unless someone claims to be objective, let others maintain their point of view.

This is why, even as I don't think of myself as a genius, I do not obsess about disputing their point if view.

I am "their genius", nit "the genius".

There is a big difference.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nme andika sentensi mbili tu umekuja na risala ya kulazisha u genius haya umeshinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hata hujaelewa nilichoandika, kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.

Na hiyo hata dibaji ya risala haijafika, nikiandika "War and Peace" utaweza kusoma?
 
Kuwa na msimamo au kutokuwa na msimamo sio muhimu sana, muhimu ni kutokuchewa, kama kushikwa matako au kutiwa vidole, dignity ya mtu

Ikiwa una compromise tutajuaje hufanyiwi hivyo kwaajili ya maslai unayotafuta?
 
Ujasiri unajengwa hauji tu kutoka angani, kujiamini kwa membe kunatokana na hatua na mchakato wa maisha aliyopitia, kwa vijana walio wengi maisha hayawapi nafasi ya kujenga uwezo wa kujiamini badala yake wanabakia kuwa submissive kwa masters wao.

Hakika nilikuwa cape town watoto wanafundishwa kujiamini balaa
 
Ni vijimambo tu.

Kujua wapi kuishi kwa principle na wapi kuibishia formula ni kipaji ambacho watu wengi hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio maana watu wanaweza kuwa wanaonewa hadharani lakini kwasababu hatuna uthubutu we cant help. Ifike hatua tujitambue kwamba law must stand as law and we need to obey the law and beyond of that no one is above law.
 
Kuwa na msimamo si muhimu sana kama kuwa na msimamo sahihi.

Unaweza kuwa na msimamo wa kula mavi, hubadilishi.

Nao ni msimamo.

Pia, unapoongelea kuwa na msimamo, taja na kuhusu nini.

Mtu anaweza kuwa na msimamo katika jambo moja, halafu akakosa nsimamo katika jambo jingine.

Zaidi, kukosa msimamo si kitu kibaya wakati wote. Watu wenye maarifa hubadilisha maoni yao kwa mujibu wa habari mpya wanazopata.

Sent using Jamii Forums mobile app
msimamo Ni mkwamo umesimama
 
msimamo Ni mkwamo umesimama
Hahaha,

Ukiwa na Hegelian dialectic maana yake msimamo wako mara zote ni kuuhoji msimamo wako, ili uendelee, usikwame hapo hapo.

Zamani wakati tunaangalia TVZ, walikuwa na bango ukifika muda wa kuzima TV (TV station ilikuwa na muda wa kuzimwa) wanaweka bango "Mapinduzi Daima".

Sasa mimi nikawa najiuliza, hawa watu wanataka kuuana kila siku kwa mapinduzi? Nilikuwa mdogo, sikuelewa.

Baadaye nikasoma nadharia za Georg Wilhem Friedrich Hegel na kuona alivyoandika kuhusu Agenda, Thesis, Antithesis, Synthesis, nikaelewa kwa nini wale Wazanzibari waliandika "Mapinduzi Daima". That was Hegelian Dialectic.

Sasa mtu wa msimamo hawezi kufanya Hegelian dialectic, kwa sababu yeye amesiamama kwenye msimamo wake.
 
Wewe ni genius wa ubishi sikuwezi , unalazimisha sijaelewa basi ume elewa wewe genius
Tatizo hata hujaelewa nilichoandika, kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu.

Na hiyo hata dibaji ya risala haijafika, nikiandika "War and Peace" utaweza kusoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni genius wa ubishi sikuwezi , unalazimisha sijaelewa basi ume elewa wewe genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Genius etimologically imetokana/ ina msingi mmoja na neno la kiarabu "jinn" Kiswahili "jini".

Mimi si jini na wala siamini katika kuwapo majini.

Unaniambia nalazimisha niwe kitu ambacho siamini kuwapo kwa hicho kitu.
 
👇
Umesema hizi ni sentensi mbili? Tutajuaje sasa?

CC: Kiranga
Huyo hata maana ya sentensi hajui.

Najitahidi nisitukane mtu Black History Month hii, in memory of the illustrious careers of Marcus Mosiah Garvey.

Lakini wapii, kuna watu wanafurukutwa tu.

Wanawashwa, wanatafuta kukunwa.
 
Nilisema hivyo kama tahadhari..wengi ukiwaulizia kuhusu nafasi zao ktk jamii kama ndoa na watoto ukimbilia kinga ya privacy lakini wakiwa wanahitaji public sympathy ujitanabaisha kama public figures (meaning kwamba Mambo Yao yanapublic impact) Depends on how they want to play (double standards mostly).... Hopefully umenielewa
Hiyo ipo.

Lakini pia, hakuna mtu anayeweza kuwa completely open, hata akitembea uchi.

Kwa hivyo, tuwaelewe watu wakiongea katika muktadha.

Kwa mfano, mimi sitegemei wala sitaki kujua habari za unyumba wa kiongozi, angalau kama hajafanya mambo ya aibu ya kuvunja maadili ya uongozi. Mambo ya nyumbani kwake anavyomkunja mke wake ni kati yake na mke wake.

Akiwa open kuhusu anavyomkunja mke wake usiku, kwa sababu anataka kuwa open, hapo napo atakuwa kakosea maadili, that will be too much information.

Lakini kwenye mambo ya public good na public interest, hapo anatakiwa kuwa open.

Kwa hivyo, muktadha ni kitu muhimu.
 
Mfano dhahiri wa mtu anayejitambua.
Kuwa na msimamo si muhimu sana kama kuwa na msimamo sahihi.

Unaweza kuwa na msimamo wa kula mavi, hubadilishi.

Nao ni msimamo.

Pia, unapoongelea kuwa na msimamo, taja na kuhusu nini.

Mtu anaweza kuwa na msimamo katika jambo moja, halafu akakosa nsimamo katika jambo jingine.

Zaidi, kukosa msimamo si kitu kibaya wakati wote. Watu wenye maarifa hubadilisha maoni yao kwa mujibu wa habari mpya wanazopata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha,

Ukiwa na Hegelian dialectic maana yake msimamo wako mara zote ni kuuhoji msimamo wako, ili uendelee, usikwame hapo hapo.

Zamani wakati tunaangalia TVZ, walikuwa na bango ukifika muda wa kuzima TV (TV station ilikuwa na muda wa kuzimwa) wanaweka bango "Mapinduzi Daima".

Sasa mimi nikawa najiuliza, hawa watu wanataka kuuana kila siku kwa mapinduzi? Nilikuwa mdogo, sikuelewa.

Baadaye nikasoma nadharia za Georg Wilhem Friedrich Hegel na kuona alivyoandika kuhusu Agenda, Thesis, Antithesis, Synthesis, nikaelewa kwa nini wale Wazanzibari waliandika "Mapinduzi Daima". That was Hegelian Dialectic.

Sasa mtu wa msimamo hawezi kufanya Hegelian dialectic, kwa sababu yeye amesiamama kwenye msimamo wake.
Kumbe nimelewanmaana ya msimamo haaaa wazanzibari wamekwama
 
lutemi umemuelewa Kiranga ? Weka misimamo unayodhani inamtambulisha kiongozi mwenye sifa ya kuwa na misimamo bila ya kusahau hoja ya Kiranga kwamba wenye akili hubadilisha misimamo kutokana na taarifa (Maarifa) mpya kila wakati.

Mkuu ninempuuza tu pale alipoanza kuchangia kwamba kuwa na msimamo sio Muhimu, type ya watu kama hawa wapi radhi kuchukuliwa mke au watoto aundugu maadamu kilichombele yake kina maslahi kwake.
 
Back
Top Bottom