mtu mwenye irregular periods anaweza kupata mimba?

na mie nina hilo tatizo la kupata irregular periods yaan mda wowote tuu inaaanza na ikiamua inaacha
How old are you, na hili tatizo ni tokea umeattain menarche? have you ever conceived, please give details of the irregularities of your cycle, I might help.
 
Maelezo uliyopewa yote ni muhimu na sawa,labda nikupe reference ya niliyoyashuhudia.

Kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo na mkewe.kumbe siri kubwa ilikuwa siku ya ovulation inaangukia siku ya mp,hii ilitokana na mzunguko wake kuwa mfupi yaani 15 days.

Ushauri wangu ni kwamba waone wataalamu ili wakuelekeze ni wakati gani wa kupata mimba mara nyingi huanzia siku ya 11 toka aanze mp
 
Njia za kujua kama mtu anaovulate ni hizi zifuatazo
1)joto hupanda baada ya ovulation, kwa hiyo anatakiwa awe anapima joto lake mara baada ya kuamka kabla ya kupiga mswaki(basal body temperature) awe anachati hilo joto la mwili kila siku anapoamka, kabla ya ovulation huwa liko chini na hupanda kidogo baada ya ovulation (biphasic pattern), kwa hiyo likipanda atajua anaovulate na hasa akichanganya na dalili nyingine za ovulation hapa chini. lipande kidogo sio liwe la homa.
2) maumivu upande wa chini wa tumbo wa ile side ambayo inaovulate, (midcycle pain)
2) ute mwepesi unaoteleza
3) libido inaongezeka
4) lakini pia anaweza akacheck kuna hormones ambazo hupanda muda mfupi kabala ya kuovulate, mtu ambaye haovulate hatakuwa na surge ya hizi hormones, hizo ni Lutenizing hormone ambazo hupanda kati ya masaa 10 mpaka 12 kabla ya kuovulate, progesterone kama masaa nane kabla ya kuovulate.

Huyo mtu wako atakuwa na wakati mgumu kukonceive kwa sababu hizo weekend anazokuja mwezi wako zinaweza kumkuta zote hayuko kwenye ovulation, conception requires regular unprotected intercourse, kwa at least 3 days in a week.

Kila la kheri labda nimemsaidia

Nashukuru kwa hii information mkuu.
 
Maelezo uliyopewa yote ni muhimu na sawa,labda nikupe reference ya niliyoyashuhudia.

Kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo na mkewe.kumbe siri kubwa ilikuwa siku ya ovulation inaangukia siku ya mp,hii ilitokana na mzunguko wake kuwa mfupi yaani 15 days.

Ushauri wangu ni kwamba waone wataalamu ili wakuelekeze ni wakati gani wa kupata mimba mara nyingi huanzia siku ya 11 toka aanze mp

Asante kwa ushauri
 
How old are you, na hili tatizo ni tokea umeattain menarche? have you ever conceived, please give details of the irregularities of your cycle, I might help.
mwaka huu naingia 22, nilivunja ungo nikiwa na miaka 13 , nikaenda iringa kusoma, nikawa napata period hata baada ya miezi sita ,nikambiwa coz of change of weather, iringa ni baridi kali na home ni joto, hali hiyo iliisha kama baada ya miakaa mi3 hivi ila kuanzia wakati huo mpk ss huwa period zangu haziko sawa, yaan nastukia tuu nishaanza na nishamaliza, na muda mwingine nableed cku 4 wkt mwingine5, na huwa ninarecord ya kuanzia 2009 january mpk sasa, huwa naziandika, ukiziangalia na kuzihesabu wala haziko sawa, cjawahi kuzaa, huwa natumiaga condom coz hata kuhesabu safe period naona haiwezekani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom