Sio mbaya japo lengo ni kustua miguu ili utulie ndaniAisee asubuhi hii tunastuana moyo
Kwa Hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikua akitokea dar kwenda mpwapwa -dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya mpwapwa
Mtu uyo inasemekana alivyokua njiani alikua na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida,
Mungu tusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
List ya tiketi
Kwani ninyi ndo corona!!!!????mdogo mdogo tutaonyeshana makali[emoji22][emoji24]
wapi mtoa taarifa kasema ni COVID-19Chanzo cha taarifa na picha ya tukio mkuu!
Unajua sasa kila mauti inahusishwa na COVID 19!
Ni sawa na mtu akiwa Malaya sana hata akifa kwa ajali watasema ni ukimwi tu ila ajali ilikuwa kusudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna tatizo kubwa sanaUko sahihi kabisa ila kwa system yetu sidhani kama kuna wa kufanya hivyo, pia kuna wale wasio na tiketi wanapandia njiani na kushuka njiani.
Ifike muda serikali ijaribu kutoa picha za watu waliofariki au kuathirika ili wengine tujijue tuko wap maana wengi yawezakuwa tumekutana. Unaweza ukawa umechil ukiamin upo sawa kumbe mwili ushakuwa kambi ya virus vya CORONAKwa Hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikua akitokea dar kwenda mpwapwa -dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya mpwapwa
Mtu uyo inasemekana alivyokua njiani alikua na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida,
Mungu tusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app