Mtu mkubwa ana agenda ya kishetani; Watanzania tusijigawe

Hiyo hoja ya katiba inaenda kujadiliwa kwenye bunge gani? Kumbuka kiongozi wa bunge ni mwenyekiti wa bunge, huyu ndio mwenye maamuzi hoja ipi iingie ndani ya bunge, na ukumbuke katibu wa bunge ni mteule wa rais asiyetaka katiba mpya. Unazungumza nadharia na sio uhalisia. Mwenye maamuzi na hilo bunge ni rais Magufuli, na anachotaka ndio kinajadiliwa bungeni, na asichokitaka hakijadiliwi.
Nakubaliana na Mawazo yako. Pendekezo la katiba kutoka kwenye hili bunge la Jiwe linaweza kuzaa katiba mbovu kuliko hii iliyopo sasa kwasababu moja kubwa; wabunge wote pamoja na spika wao ni vikaragosi wa Jiwe!!
Spika pamoja na wabunge karibuni wote ni
wateule wa Jiwe hivyo wapo pale kutekeleza matakwa yake, hivi sasa mpango wale ni kutaka kubadilisha katiba ili waondoe kipengele kinachohusu ukomo wa Urais!! Hii ndio sababu yake moja wapo ya kuwaondoa wakongwe wakina Chenge etc bungeni ili kusiwe na wabunge ambao wangediriki kupinga mpango huu.
Katiba ya wananchi itapatikana pale tu Tume huru ya uchaguzi itakapopatikana na kwanza kabisa kuanza kazi yake kwakusimamia uchaguzi ulio huru na haki; wabunge watakaotokana na uchaguzi huo ndio wafanye kazi ya kutayarisha katiba itakayokubalika na wananchi, vinginevyo miaka yote tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!!
 
Zoezi la kutaka kuonyesha kama siasa ni vita na upinzani ni uadui limeshika kasi hapa nchini!

Uwekezaji mkubwa umefanyika kwenye hili zoezi na wananchi na viongozi kwa ujumla wamejikuta wakiingia katika huu mtego bila kujua lengo la muasisi wa zoezi.

Watanzania wamefungamana sana;
1. Kifamilia.
2. Kidini
3. Kikabila
4. Kibiashara
5. Shuhuli za kijamii kama vile sherehe na misiba.

Ukitaka kuwagawa kwa kutumia siasa, utafanyaje kwenye mahusiano ya kifamilia, kidini, kikabila, kibiashara na shughuli za kijamii?

Leo chakula alichokua anakula Lema kimehamishiwa kwa Gambo kwa kutumia nguvu. Gambo mtaani ni jirani yangu na tunashirikiana nae pamoja na familia yake kwenye shughuli za kijamii. Lema ni shemeji yangu maana nimeoa kwao.

Sasa ukitaka kuonyesha Lema ni mtu mbaya sana na Gambo ni mtu mzuri sana, mimi nitasimamia upande gani? Makwazo ni budi kuwapo ila ole wake anayeyaleta. Yampasa kufungwa jiwe la kusagia shingoni mwake na atumbukizwe kwenye kina kirefu cha maji!

Ni muda sasa wa kutafakari lengo la muasisi huyu wa siasa za kibaguzi. Ilikuwaje tukaishi pamoja na kwa umoja na upendo chini ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

Nini kimeenda vibaya?

Tumefikaje hapa?
Jibu: Walioko madarakani hawataki upinzani. Wako tayari kufanya lolote na hata kuvunja katiba ili kuhakikisha upinzani unakufa.
 
Tatizo huo uchaguzu uliowaweka madarakani ni wa kupora, mimi na wewe tunajuwa hivo, na wengine wengi wanajuwa hilo.
 
Zoezi la kutaka kuonyesha kama siasa ni vita na upinzani ni uadui limeshika kasi hapa nchini!

Uwekezaji mkubwa umefanyika kwenye hili zoezi na wananchi na viongozi kwa ujumla wamejikuta wakiingia katika huu mtego bila kujua lengo la muasisi wa zoezi.

Watanzania wamefungamana sana;
1. Kifamilia.
2. Kidini
3. Kikabila
4. Kibiashara
5. Shuhuli za kijamii kama vile sherehe na misiba.

Ukitaka kuwagawa kwa kutumia siasa, utafanyaje kwenye mahusiano ya kifamilia, kidini, kikabila, kibiashara na shughuli za kijamii?

Leo chakula alichokua anakula Lema kimehamishiwa kwa Gambo kwa kutumia nguvu. Gambo mtaani ni jirani yangu na tunashirikiana nae pamoja na familia yake kwenye shughuli za kijamii. Lema ni shemeji yangu maana nimeoa kwao.

Sasa ukitaka kuonyesha Lema ni mtu mbaya sana na Gambo ni mtu mzuri sana, mimi nitasimamia upande gani? Makwazo ni budi kuwapo ila ole wake anayeyaleta. Yampasa kufungwa jiwe la kusagia shingoni mwake na atumbukizwe kwenye kina kirefu cha maji!

Ni muda sasa wa kutafakari lengo la muasisi huyu wa siasa za kibaguzi. Ilikuwaje tukaishi pamoja na kwa umoja na upendo chini ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

Nini kimeenda vibaya?

Tumefikaje hapa?
Tumempa mchunga ng’ombe nchi tutalia sana.
 
Watanzania tuna haki ya kulaumiwa zaidi kuliko hata viongozi wetu;

Haya yote tumeruhusu sisi watanzania yatokee, tunaruhusu mtu mkubwa mmoja kulazimisha "MTAZAMO WAKE" kuwa ndio mtazamo wa taifa zima. Hata kama mtazamo wake una madhaifu na si mzuri kwa ustawi wa taifa.

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja kulazimisha "CHUKI ZAKE" kuwa ndio chuki za taifa zima. Mtu akiwachukia watu fulani basi anataka taifa zima liaminishwe na liwachukie.

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja "KUJIAMINISHA KWAMBA YEYE HAKOSEI" na yupo juu ya kila kitu mpaka Katiba ya nchi. Ana haki ya kuamua "NANI ANA HAKI YA KUISHI/NANI ANATAKIWA AFE".

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja awe na "KINGA YA KUTOKUULIZWA CHOCHOTE" atakachofanya au atakachoamua. Kana kwamba taifa hili "AMERITHISHWA KAMA MIRATHI" kutoka kwa ma babu zake ambao ndio lilikua mali yao.

Kwanini nasema sisi watanzania tuna kila sababu ya kulaumiwa?

Aliekuwa Rais Wa Indonesia, Suharto, aliiba sambamba na kufanya matumizi mabaya ya pesa za wananchi wake kati ya USD $ Billion 15 mpaka USD $ Billioni 35.

Aliekuwa Rais Wa Philipines, Ferdinand Marcos, aliiba sambamba na kufanya ubadhirifu wa pesa za wananchi wake kati ya USD $ Billion 5 mpaka USD Billion 10.

Aliekua Rais Wa Zaire, Mobutu Sese Seko, na Aliekuwa Rais Wa Nigeria, Sani Abacha, walifanya ubadhirifu wa pesa za wananchi wao USD $ Billion 5 kila mmoja.

Kashfa ya miaka ya hivi karibuni, nchini Brazil, iliopewa jina la "LAVA JATO" iliwa gharimu watu zaidi ya "11" wakiwemo wanasiasa mashuhuri na wafanyabiashara wakubwa duniani (Kutoka Brazil mpaka Peru). Na walifungwa.

Aliekuwa Waziri Mkuu Wa Malaysia, Najib Razak, ameshatakiwa na anafanyiwa uchunguzi wa ubadhirifu wa USD $ Billion 4.5 wakati wa madaraka yake. Pesa nyingine alitumia kumnunulia mke wake vito vya dhahabu na almasi za bei ya juu sana.

NB Wenzetu walifanya nini mpaka wakapatia, na sisi watanzania tunafanya nini mpaka tunakosea???

Rais Wa Peru, Pedro Pablo Kuzcynski, kutokana na kashfa ya Brazil nilio ainisha hapo juu alilazimika "KUJIUZULU" baada ya bunge la peru kuitisha kikao na kupiga "KURA YA PAMOJA YA KUTOKUA NA IMANI NAE". Iliitishwa na wabunge wa chama chake na upinzani pamoja.

Rais Wa Guatemala, alilazimika KUJIUZULU" baada ya bunge la nchi hio kumtolea "KINGA YAKE KIKATIBA", mchakato uliofanywa na chama chake na vyama vya upinzani.

Rais Wa South Africa, Jacob Zuma, alilazimika "KUJIUZULU" baada ya chama chake kumpa muda wa miezi 3 ajiuzulu au waitishe hoja bungeni ya "KUMPIGIA KURA YA KUTOKUA NA IMANI NAE". Alijiuzulu kabla hata ya huo muda wa miezi mitatu kuisha. Sasa hivi ana kesi mahakamani za ufisadi.

Mnamo mwaka 2017, South Korea, walimtoa madarakani Rais wao Park Geun-Hye, kwaajili ya kashfa ya rushwa na kashfa za ubadhirifu. Mwaka 2018 alitiwa hatiani kwa makosa ya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na vitisho (Alihukumiwa kifungo cha miaka 24).

Wenzetu kiongozi (Awe Rais au Waziri Mkuu) akifanya ubadhirifu/rushwa/kuvunja katiba/matumizi mabaya ya pesa za wananchi, basi hata kama ana mapembe au mkia, atatolewa kwa nguvu. Na mara nyingi viongozi hao wanatolewa madarakani kwa shinikizo/maamuzi ya "VYAMA VYAO WENYEWE" ili kulinda heshima ya chama kwa wanachama wao. Sisi wanasiasa pamoja na viongozi wa usalama wa nchi wanalilia uteuzi na tamaa ya kipato bila kujali taifa linaelekea wapi.

Umenena vema ndugu yangu. Mbaya zaidi aliyetuachia hili janga alishakufa kwa hiyo hatuna hata wa kumlaumu. Tujiandae kulia na kusaga meno kwa miaka mitano mingine!
 
Watanzania tuna haki ya kulaumiwa zaidi kuliko hata viongozi wetu;

Haya yote tumeruhusu sisi watanzania yatokee, tunaruhusu mtu mkubwa mmoja kulazimisha "MTAZAMO WAKE" kuwa ndio mtazamo wa taifa zima. Hata kama mtazamo wake una madhaifu na si mzuri kwa ustawi wa taifa.

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja kulazimisha "CHUKI ZAKE" kuwa ndio chuki za taifa zima. Mtu akiwachukia watu fulani basi anataka taifa zima liaminishwe na liwachukie.

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja "KUJIAMINISHA KWAMBA YEYE HAKOSEI" na yupo juu ya kila kitu mpaka Katiba ya nchi. Ana haki ya kuamua "NANI ANA HAKI YA KUISHI/NANI ANATAKIWA AFE".

Tunaruhusu mtu mkubwa mmoja awe na "KINGA YA KUTOKUULIZWA CHOCHOTE" atakachofanya au atakachoamua. Kana kwamba taifa hili "AMERITHISHWA KAMA MIRATHI" kutoka kwa ma babu zake ambao ndio lilikua mali yao.

......

Tumeruhusu cheo cha Uraisi kuwa cha Kifalme - tena wale wafalme wa kale.
 
Zoezi la kutaka kuonyesha kama siasa ni vita na upinzani ni uadui limeshika kasi hapa nchini!

Uwekezaji mkubwa umefanyika kwenye hili zoezi na wananchi na viongozi kwa ujumla wamejikuta wakiingia katika huu mtego bila kujua lengo la muasisi wa zoezi.

Watanzania wamefungamana sana;
1. Kifamilia.
2. Kidini
3. Kikabila
4. Kibiashara
5. Shuhuli za kijamii kama vile sherehe na misiba.

Ukitaka kuwagawa kwa kutumia siasa, utafanyaje kwenye mahusiano ya kifamilia, kidini, kikabila, kibiashara na shughuli za kijamii?

Leo chakula alichokua anakula Lema kimehamishiwa kwa Gambo kwa kutumia nguvu. Gambo mtaani ni jirani yangu na tunashirikiana nae pamoja na familia yake kwenye shughuli za kijamii. Lema ni shemeji yangu maana nimeoa kwao.

Sasa ukitaka kuonyesha Lema ni mtu mbaya sana na Gambo ni mtu mzuri sana, mimi nitasimamia upande gani? Makwazo ni budi kuwapo ila ole wake anayeyaleta. Yampasa kufungwa jiwe la kusagia shingoni mwake na atumbukizwe kwenye kina kirefu cha maji!

Ni muda sasa wa kutafakari lengo la muasisi huyu wa siasa za kibaguzi. Ilikuwaje tukaishi pamoja na kwa umoja na upendo chini ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

Nini kimeenda vibaya?

Tumefikaje hapa?
Aiseeee !!
 
Izi kauli za kusema watanzania tusijigawe uwa nazichukia Sana maana zimekaa kinafki.
 
rekebisha hii taka!
 
Nakubaliana na Mawazo yako. Pendekezo la katiba kutoka kwenye hili bunge la Jiwe linaweza kuzaa katiba mbovu kuliko hii iliyopo sasa kwasababu moja kubwa; wabunge wote pamoja na spika wao ni vikaragosi wa Jiwe!!
Spika pamoja na wabunge karibuni wote ni
wateule wa Jiwe hivyo wapo pale kutekeleza matakwa yake, hivi sasa mpango wale ni kutaka kubadilisha katiba ili waondoe kipengele kinachohusu ukomo wa Urais!! Hii ndio sababu yake moja wapo ya kuwaondoa wakongwe wakina Chenge etc bungeni ili kusiwe na wabunge ambao wangediriki kupinga mpango huu.
Katiba ya wananchi itapatikana pale tu Tume huru ya uchaguzi itakapopatikana na kwanza kabisa kuanza kazi yake kwakusimamia uchaguzi ulio huru na haki; wabunge watakaotokana na uchaguzi huo ndio wafanye kazi ya kutayarisha katiba itakayokubalika na wananchi, vinginevyo miaka yote tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!!

True ni ngumu kuishi bila kuabudiwa ukishazoea
 
Natamani hiki ulichoandika wakisikie wapinzani wote..
Shida tuna viongozi wanalalamila kila kukicha
Wana CCM mna viburi! Mnakuwa kama vile mtu mzima mwenye miaka 30 anaamua kumpiga mtoto wa miaka 5 halafu anamwambia rudisha kama unaweza wakati anajua kabisa haiwezekani! Unamvimbia mtu ambaye unajua kabisa hana cha kukufanya sababu unamiliki kila kinachokupa favour! Okay....

Tuseme wewe ndio kiongozi wa upinzani kwa hali iliyopo sasa ungefanyaje? TL, mbowe Et. al wanajitahidi sana ni vile mnajitoa ufahamu hapa!
 
Back
Top Bottom