Mtu mke au mtu mme, kuna wanaume warembo jamani

Mtu mke au mtu mme, kuna wanaume warembo jamani

Huyu anaonyesha hata leseni ya uanaume hana,maana hayupo kwenye orodha yangu ya niliowapa leseni ya ulijari mwaka huu.
Atakuwa wa upande wa pili huyu.
 
Sura haikunipa wasiwasi. Ila nipoona rangi ya mdomo,!!!!! nikaanza kuwa na wasiwasi. Kuona kifuani "Just live"! Nikajuwa dogo hatanii, anamaanisha. Pamoja na hayo bado naendelea na utafiti.
 
Huyo ni msichana mimi nilishampiga sema ana vinyonyo vidogo
 
Samahani Zinduna hii picha mmoja huwa nimeipenda sana na ombi ni kutaka kuwa na matarajio ya kuichukuwa ni ombi tuu
 
Kwanza nashangaa Loooh... Pili natema mate ptuuuui!.. Kama sio punga hizo rangi za macho na mdomoni za nini natema tena mate PTUUUUUI!...
 
Tuache masikhara,hiyo picha ya kati nimempenda bure.kaniteka.
 
Back
Top Bottom