Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 332
- 726
Amou Haji, raia wa Iran aliyeishi maisha ya kujitenga na watu na ambaye alijulikana kama “mtu mchafu zaidi duniani,” alifariki akiwa na umri wa miaka 94 mnamo Oktoba 2022, muda mfupi baada ya kuoga kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 60. Akiishi maisha ya kujitenga katika kibanda kidogo kando ya makazi ya watu
Kulingana na wakazi wa kijiji chake, mwili wake ulikuwa umefunikwa na masizi mara kwa mara kutokana na imani yake kali kuhusu kuchukia usafi, ambayo ni pamoja na mawazo kwamba kuoga kungemfanya awe mgonjwa.
Miongoni mwa tabia zake zisizo za kawaida zilizoandikwa na gazeti la Tehran Times mnamo 2014 ni kula vya barabarani, kuvuta kinyesi kwenye bomba na kuepuka aina yoyote ya usafi wa kibinafsi.
Yaani kifupi aliishi maisha ya chizi wa mitaani hali ya kuwa anaakili zake timamu.