Mtu kujisaidia pembeni ya choo

Mtu kujisaidia pembeni ya choo

nguru

New Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
3
Reaction score
1
........inakuwaje mtu anaenda chooni anaacha kujisaidia sehemu husika anajisaidia chini tena ktk hotel kama hyatt
 
mhh....niseme tuu...kuna watu wengne hawanaga busara...mtu anaingia chooni anaacha pako ovyoo....duu badiliken
.
 
........inakuwaje mtu anaenda chooni anaacha kujisaidia sehemu husika anajisaidia chini tena ktk hotel kama hyatt

Watu wana mizuka ya ajabu mkuu. Halafu hivi vyoo vya aina ya kizungu haviaminiki na sio rafiki wa kimba. Inawezekana mtu yalimshinda akaamua kuweka mzigo chini
 
Watu wana mizuka ya ajabu mkuu. Halafu hivi vyoo vya aina ya kizungu haviaminiki na sio rafiki wa kimba. Inawezekana mtu yalimshinda akaamua kuweka mzigo chini

havipendi kimba?
 
Siku hizi Dunia imekuwa kijiji, hata sisi wa Kigogo Sambusa tunaingia kwenye hizo hoteli zenu za nyota tano.
 
Back
Top Bottom