Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua.
Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani.
Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na kunielekeza kazi Kwa uzuri kabisa.
Sasa huyu bro ana mke wa ndoa ambaye anaishi wilaya jirani, mara chache alikua anakuja kumtembelea bro.
Huyu shemeji amekata mguu baada ya kugundua bro anajihusisha kimapenzi na mpangaji mwenzake ( mshangazi) approximate 45 age.
Changamoto bro alikua na nyumba ambayo hakuimalizia, hivi sasa ametoka kuuza nyumba Geita milion 25 ili aje akamilishe hii nyumba Kwa ajili ya mshangazi, mshangazi mwenyewe amekaa kimkakati na aliwahi kumuelekeza mpangaji mwenzake kwamba anasubili nyumba iishe akabidhiwe Kisha amteme bro maana hampendi ila tu anashida na nyumba na pesa za kula ukizingatia ana watoto 2 mmoja kidato cha pili mwingine darasa la sita.
Sijajua bro amepigwa dawa au ndo penzi la shangazi limemhamisha ufahamu ndo sijui maana hata Kwa mkewe haendi, Kwa kifupi wametengana.
Hoja ya msingi ni kwamba, je nimsanue kwamba anaibiwa au nimuache maana nawasiwasi anaweza kwenda kumsimulia mkewe (shangazi) wakanichukia milele.
Aisee, si wanaume tuwe na akili kichwan. Huu ni upumbavu, unalewaje na Penzi na mwanamke aged as if ndo unazaliwa leo?
Naomba ushauri, nimsanue au nimuache?
wabena tumeingiaje apo🙄Huyo shangazi Ni mnyamwezi au Mbena?
Kumbe tuko wengiwabena tumeingiaje apo🙄
Umenikumbusha tanga mkuu, yule msambaa wallah alitaka kunimaliza akili zote ila brother wangu alistukia mchongo akapambana mpaka kunitoa kule.Binafsi yangu mimi ningekaa kimya tu maake huyo keshalishwa nyama ya maini iliyovundikwa kwenye uchi wa huyo mshangazi wake kwa takribani mwezi na majuma mawili kisha ikachomolewa huko ikakaangwa vilivyo huku ikichanganywa na dawa akaandaliwa na chapati na chai ya rangi
Baadhi ya wanawake wana mambo ya hatari sanaUmenikumbusha tanga mkuu, yule msambaa wallah alitaka kunimaliza akili zote ila brother wangu alistukia mchongo akapambana mpaka kunitoa kule.
sana sema tumejifcha kwenye migongo ya wasukumaKumbe tuko wengi
Shida amemwacha Mungu na kutumbukia dhambini....mwache luwe funzo.....Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua.
Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani.
Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na kunielekeza kazi Kwa uzuri kabisa.
Sasa huyu bro ana mke wa ndoa ambaye anaishi wilaya jirani, mara chache alikua anakuja kumtembelea bro.
Huyu shemeji amekata mguu baada ya kugundua bro anajihusisha kimapenzi na mpangaji mwenzake ( mshangazi) approximate 45 age.
Changamoto bro alikua na nyumba ambayo hakuimalizia, hivi sasa ametoka kuuza nyumba Geita milion 25 ili aje akamilishe hii nyumba Kwa ajili ya mshangazi, mshangazi mwenyewe amekaa kimkakati na aliwahi kumuelekeza mpangaji mwenzake kwamba anasubili nyumba iishe akabidhiwe Kisha amteme bro maana hampendi ila tu anashida na nyumba na pesa za kula ukizingatia ana watoto 2 mmoja kidato cha pili mwingine darasa la sita.
Sijajua bro amepigwa dawa au ndo penzi la shangazi limemhamisha ufahamu ndo sijui maana hata Kwa mkewe haendi, Kwa kifupi wametengana.
Hoja ya msingi ni kwamba, je nimsanue kwamba anaibiwa au nimuache maana nawasiwasi anaweza kwenda kumsimulia mkewe (shangazi) wakanichukia milele.
Aisee, si wanaume tuwe na akili kichwan. Huu ni upumbavu, unalewaje na Penzi na mwanamke aged as if ndo unazaliwa leo?
Naomba ushauri, nimsanue au nimuache?
Mwambie ukweli, hakuna urafiki wa hivyo mwenzio anateketea wewe umekaa pembeni kama ndugu mtazamaji, msanue then atakacho amua yeye abaki nacho si unajua majuto mjukuu ?Huyo ni mwanaume, msanue kisha kaa mbali saana.
Tatizo letu sisi ambao ni wageni wa Kagera ni kwamba tukionjeshwa yale mambo ya kule tunajaa hadi kingi.Ni Kabila ndani ya wilaya mojawapo ya Bukoba.!
Umeyapata wapi haya madini mkuu?Pole Sana .
Hapo hamna uchawi au dawa ambayo kaka yako kapewa Ila anapitia kipindi cha kushindwa kuweka vipaumbele katika MAISHA yake.
Mshangazi hana tatizo Ila tatizo analo kaka yako maana Kama unavyoona huyo mshangazi anasema yeye anahitaji nyumba ikamilike-mana yake hiki ndo kipaumbele cha mshangazi. So she is Right by her side.
Ina maana katika Ku-clarify value , ndo kaka yako amekwama na mshangazi amefanikiwa maana ktk Maisha hakuna kitu kibaya hata mapenzi hayana ubaya Ila ili uingie katika mapenzi unaanza kutazama vipaumbele kwanza.
Mfano unaweza kusema kati ya kuongeza mke wa pili na mchipuko kipi kianze ukachagua mke wa pili so ni swala la kuweka vipaumbele.
Ushauri
Ili umsaidie kaka yako unabidi kuongea naye kwa kutumia hii kanuni "Clarify your value"
Mwambie kwa kipindi hiki afanye mambo kwa kuyapa kipaumbele
Kati ya familia yake na mchipuko wapi awekeze zaidi atachagua then ataanza kupangilia pesa yake vizuri kwa kutumia vipaumbele.
Na mwisho.
Usimlaumu kaka yako wala usimlaumu mchipuko Ila elewa kuwa hii dunia watu tumetofautiana viwango vya ufahamu na watu wengi hufanya mambo kwa kutotumia hiyo kanuni ya "Clarify value"
Mfano kumjengea MTU nyumba na kumnunulia gari ni mambo ya kawaida Sana Ila ikiwa bado familia yako haijasimama vizuri utakuwa umekosea kuweka vipaumbele endapo ukafanya hivyo.
Mzee ukimwambia yeye straight itakua shida Kama anafanya vitu kwa kukamatwa kwa Ndumba.. hatakuskiliza…Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua.
Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani.
Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na kunielekeza kazi Kwa uzuri kabisa.
Sasa huyu bro ana mke wa ndoa ambaye anaishi wilaya jirani, mara chache alikua anakuja kumtembelea bro.
Huyu shemeji amekata mguu baada ya kugundua bro anajihusisha kimapenzi na mpangaji mwenzake ( mshangazi) approximate 45 age.
Changamoto bro alikua na nyumba ambayo hakuimalizia, hivi sasa ametoka kuuza nyumba Geita milion 25 ili aje akamilishe hii nyumba Kwa ajili ya mshangazi, mshangazi mwenyewe amekaa kimkakati na aliwahi kumuelekeza mpangaji mwenzake kwamba anasubili nyumba iishe akabidhiwe Kisha amteme bro maana hampendi ila tu anashida na nyumba na pesa za kula ukizingatia ana watoto 2 mmoja kidato cha pili mwingine darasa la sita.
Sijajua bro amepigwa dawa au ndo penzi la shangazi limemhamisha ufahamu ndo sijui maana hata Kwa mkewe haendi, Kwa kifupi wametengana.
Hoja ya msingi ni kwamba, je nimsanue kwamba anaibiwa au nimuache maana nawasiwasi anaweza kwenda kumsimulia mkewe (shangazi) wakanichukia milele.
Aisee, si wanaume tuwe na akili kichwan. Huu ni upumbavu, unalewaje na Penzi na mwanamke aged as if ndo unazaliwa leo?
Naomba ushauri, nimsanue au nimuache?
Teh.!Mzee ukimwambia yeye straight itakua shida Kama anafanya vitu kwa kukamatwa kwa Ndumba.. hatakuskiliza…
Nnavyoona mimi .. Tafuta ndugu zake. Kisha mseti mtu akawaambie either face to face au kwa simu tu .. ili ndugu Ndo waanze kumsaidia.. sio ndugu wakwambie muhusika.. hawatomsaidia atawaona ni wenye wivu na jimama lake tu…
Hapo ndugu Ndo wa ku-take action … Ila yeye mwenyewe huyo kafungwa king’amuzi.. network ya kichwa chake ikitaka kustuka tu shangazi anapata taarifa anaongeza dose..
[emoji23][emoji23]
I
Umeyapata wapi haya madini mkuu?
Kama ni kitabu unaweza kushare link, kama no hiyo bichwa basi kongole, na ulitakiwa kutiririka zaidi.
Mambo za kutumia mbongo watu husema wamerogwa.