served
Senior Member
- Nov 6, 2013
- 168
- 58
kuna mwili wa mtu umepatikana leo nyuma ya jengo jipya la laboratory za ARU zilizopo karibu na workshop. Mwili umegundulika leo baada ya kuanza kutoa harufu kali ambayo iliwafanya watu waanze kutafuta source ya hyo harufu.
Mwili umepatikana ukiwa umetobolewa macho na mashuhuda wanasema ni mwili wa kijana wa kiume na inaonekana anaweza kuwa mwanafunzi kwakua umekutwa ukiwa na bag. Na inaonesha ameuawa siku kadhaa zilizopita.