Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

Ndo hapo sasa ,wabunge ni wale wanachaguliwa na vyama vyao ...Mtu wa kawaida bila ya chama hawezi kuingia
 
Unakosoa hoja yake kwa facts au kwa mipasho na ngonjera

Instead of personal attacks pangilia facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…