bunga88
Member
- Nov 4, 2013
- 5
- 0
Habari wana jamvi mm mwenzenu nasumbuliwa na ugonjwa ambao cjui unasababishwa na nn,unaitwaje.kiukweli natoka vipele vikubwa vikubwa nyuma ya shingo yangu yapata mwaka ss lakini kadiri cku zinavyosonga mbele ugonjwa ndo unazidi kukua.plz plz ndugu zangu naomba msaada wenu kwa kuwa huu ugonjwa unaninyima raha an.