Mtu anayejielewa ni huyu!

Mtu anayejielewa ni huyu!

Haoi,haolewi,hatongozi,hatamani ngono.yy anasaidia kupunguza uzao dunia.sio kuzaa ovyo bila kujielewa.
Kama kutokunywa, kutotongoza na kutamani ngono ndiyo kipimo cha “mtu anayejielewa”, basi tungekuwa tunapima kujitambua kwa tamaa ambazo mtu hana.

Kujielewa ni zaidi ya hayo—ni kujua unachotaka, kwa nini unakifanya, na kuwajibika kwa matokeo ya maamuzi yako.
 
Kujielewa = self discipline + Accountability. Maana yake hata akioa, akiolewa, akizaa, akifanya ngono au kutamani ataongozwa na nidhamu binafsi na atakuwa accountable kwa analiyoyafanya.

Kutokufanya sio kujielewa, lakini ni wazi kuwa wanaofanya wengi hawajielewi 😀
 
Mbona mimi sijielewi na bado namiliki sim kali mkuu...🤣
downloadfile-5.jpg
 
Back
Top Bottom