Mtu anayechukua PGM anaweza akawa Engineer wa Ndege(aerotical Engineer) endapo atashindwa Geography?

Bryann01

Member
Jul 2, 2014
35
1
Habari zenu wanajamii forum.mimi ni kijana ninayesoma Minaki high School,dar es salaam kwa combination ya PGM.nilikuwa naomba kujibiwa swali langu kuwa,mtu anayechukua PGM and then labda akafeli Geography,anaweza kuwa Engineer wa Ndege(aerotical Engineer)? Na huwa anasoma miaka mingapi? Ahsanteni kwa majibu Yenu wakubwa.
 
Back
Top Bottom