Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

ThisisDenis

Senior Member
Apr 14, 2013
149
129
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii

Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi

Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi

🤣🤣🤣
 
Kwani English si ni somo kati ya masomo kadhaa anayofundishwa?

Ufaulu na uelewa wake kwenye masomo mengine ukoje?

Kuna wanaoongea English, hawajui inaandikwaje, hivyo sio maarifa ya msingi mtu kujua katika maisha yake!
Mama kwani wanao tutenga si wao, na wanaosisitiza lugha si wao na wanaofanya waonekane hawajui kuongea ni wao. Ni kaujinga tu ka ubaguzi na kujiona wao ndio wajanja sanaaa.
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi

Nikiwaambieni UCHAWI upo mnabisha
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Kwani kujua English ndio usomi?
 
Kuna vichaa wapo huko uingereza, wanapiga ngeli la maana sana, na wala hawajaenda shule yoyote
 
Ex minister wa elimu wa awamu ya 5 alishindwa kuongea English iliyonyooka kwenye kongamano la elimu na PhD yake sembuse degree holder?

Hebu msiwape stress vijana wa watu. Cha muhimu contents aliyonayo kichwani sio English yake anayoizungumza
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
English ni lugha au ni elimu?
 
English sio kitu cha kumsemea mtu, una wivu kisa mwenzio ana degree na GPA nzuri

Kama unafikiri n rahisi kuvipata bila kujua english nenda chuo 😂😂😂😂
 
Wazungu wa uingereza hawaongei sawasawa kichina, wala kifaransa, wala kiswahili

Wazungu wa ufaransa hawaongei sawasawa kiingereza, wala kichina, wala kijapani

Wamakonde, wakurya, wasukuma, wapare, wahaya etc hawaongei kiswahili kilichonyooka.............. sembuse kiingereza😁😁😎
 
Back
Top Bottom