Ila mtoa mada ndo anatakiwa atangulie mirembe wa kwanza mana mwenzake ana nafuu kdg.Wote mnachangamoto ya afya ya Akili...
Gentleman,Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani.
Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
Unalombwa wwLkn pia comment zimenifanya ni smile 😃 asanteni kwa kuja
Negative (-) Plus Negative (-) = Positive (+)...hivyo mpaka sasa hamja 'blokiana'Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani.
Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
Hasira ya nini kwani amekulazimisha umblock?😃🤣Ushauri unahitajika hapa maana nin hasira nae