let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Ni dalili ya moja wapo ya usaliti ikiwa upo katika mahusiano na mtu wa hivyo.
Mlio wanaweka iphone uzas ili mjue kuwa wana Iphone.Hivi mtu kuwa na simu alafu always simu yake imesetiwa kwenye vibration yani haitoi mlio anamaanisha kitu gani, usalama upo kweli or ni uhuni?
Yaa, atakuwa bado dogo ana mizuka na milio ya simu........si unajua mara ya kwanza kumiliki simu unakuwa unabadilisha tu kila aina ya mlio, akikua hataona umuhimu wa kuweka milio yenye sauti kwenye simu.Kuna umri fulani (Level za Utafutaji) ukifika hata wewe utaachana na kuweka milio ya Simu.....
Siku ukianza kuona Milio ya simu ni KELELE,,,,basi jua umeshafika huo Umri/Level niliyozungumzia.
Asante
Anamaanisha hapendi milio, mbona mnapenda kujipa stress za ajabuHivi mtu kuwa na simu alafu always simu yake imesetiwa kwenye vibration yani haitoi mlio anamaanisha kitu gani, usalama upo kweli or ni uhuni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora waweke vibration tu, maana kuna simu nyingine ina milio ya hatari. Unakuta simu inamulio Kama vyombo vimedondoshwa hiyo siku kidogo nikwepe kumbe ni sms imeingia kwa mshikaji.