Mtu aliyewasumbua majasusi wa Mossad kwa miaka zaidi ya 20 kufanikiwa kumuua

shujaa imad aliuawa na milipuko iliyokua imewekwa katika spair tyle ya gari yake.
ina maana walitegea amepaki gari,wakareplace spair taili na yenye milipuko.
wakagonja amerudi garini na kulipua kwa remote control.

pia hezbollah haikuwepo miaka ya 70.
ni kikundi cha kijeshi kiliundwa kupambana na uvamizi wa israel katika nchi ya lebanon miaka ya 80

uko sahihi baada ya tukio la black september kuna mambo mengi sana baina ya Israel na majirani zake kuanzia 1960's na 1990's matukio ya kutisha sana hapo
 
Ulishawahi kutazama Documentary inaitwa KILL HIM SILENTLY

inahusu failed assasination attemp ya khalid mashal kule jordan 1997 ni tabu sana hiyo mission ilivyopangwa na netanyahu

sijaiona bali nimesoma sehemu,kuwa walimdunga sindano ya sumu,khalid meeshaal,kama sikosei akiwa jordan.
nasikia kabla mossad hawajatoweka baada y kumdunnga sumu.
king husein wa jordan akailazimisha israel kukimbiza ANTIDOTE haraka kwani sumu ilikua ya kijasusi ama wale majasusi hawataachiwa na uhusiano wao utaharibika.
ikabidi israel kweli walete dawa ndo ikawa pona yake jamaa.
nimesoma zamani kama miaka 10 iliyopita sina hakika kama nimeeleza kwa usahihi
 
uko sahihi baada ya tukio la black september kuna mambo mengi sana baina ya Israel na majirani zake kuanzia 1960's na 1990's matukio ya kutisha sana hapo

kitendo cha israel kuondoa wanajeshi wake lebanon na gaza miaka ya mwanzoni ya 2000 kulichangia sana kupunguza wimbi la mashambulizi ya dhidi ya israel
 
sijaiona bali nimesoma sehemu,kuwa walimdunga sindano ya sumu,khalid meeshaal,kama sikosei akiwa jordan.
nasikia kabla mossad hawajatoweka baada y kumdunnga sumu.
king husein wa jordan akailazimisha israel kukimbiza ANTIDOTE haraka kwani sumu ilikua ya kijasusi ama wale majasusi hawataachiwa na uhusiano wao utaharibika.
ikabidi israel kweli walete dawa ndo ikawa pona yake jamaa.
nimesoma zamani kama miaka 10 iliyopita sina hakika kama nimeeleza kwa usahihi

Itafute Youtube...kwa neno Kill him silently

waliingia jordan vijana wawili mwaka 1997 wakiwa na passport za Canada..Wakati Khalid na bodyguard wake wakija ofisini Mji wa amman jordan alipuliziwa SPRAY sikio la kushoto na wakatoka nduki

bodyguard wa pili akawakimbiza mpaka akawakata baada ya kupigana sana barabarani...

walipokamatwa Canada ikasema haiwafahamu na ndo wakasema wao ni MOSSAD AGENTS

wakati huo khalid amezima (comma) respiratory system zikaanza kufeli akapelekwa hospitali ya mfalme Hussein hakuna Tiba...

Bill clinton ndiye aliye mpa pressure Netanyahu kwani Jordan na Israel walikuwa na Peace treaty mwaka 1994 ya kumaliza uhasama...

King akasema akifa Khaled Peace treaty inakufa nayo na ana storm Israel embassy kule Amman

wakaleta antidote na sharti lingine wakaomba aachiwe SHEIKH AHMED YASIN

israel ilikuwa haina jinsi ikawaachia na khalid akaletewa dawa akapona baada ya kupoteza fahamu kama siku 5
 
kitendo cha israel kuondoa wanajeshi wake lebanon na gaza miaka ya mwanzoni ya 2000 kulichangia sana kupunguza wimbi la mashambulizi ya dhidi ya israel

Tafuta hizi documntaries ukipata muda youtube ziko well detailed

kill him silently

inside shin belt

Agents of israel

Assasination of yitzhak rabin

Black september

Golda's meir revenge

What killed arafat

na nyinginezo nyingi sana huko
 
shujaa imad aliuawa na milipuko iliyokua imewekwa katika spair tyle ya gari yake.
ina maana walitegea amepaki gari,wakareplace spair taili na yenye milipuko.
wakagonja amerudi garini na kulipua kwa remote control.

pia hezbollah haikuwepo miaka ya 70.
ni kikundi cha kijeshi kiliundwa kupambana na uvamizi wa israel katika nchi ya lebanon miaka ya 80

mkuu sikusema Hizbollah ilikuwepo miaka ya 70. ila nimesema alijiunga akiwa na miaks 22. kwa kuwa alizaliwa 1962 ukijumlisha 22 maana yake alijiunga na Hizbollah 1984. Fatah ndio alijiunga miaka ya 70. umenipata hapo au bado mkuu Elungata
 
Last edited by a moderator:
sijaiona bali nimesoma sehemu,kuwa walimdunga sindano ya sumu,khalid meeshaal,kama sikosei akiwa jordan.
nasikia kabla mossad hawajatoweka baada y kumdunnga sumu.
king husein wa jordan akailazimisha israel kukimbiza ANTIDOTE haraka kwani sumu ilikua ya kijasusi ama wale majasusi hawataachiwa na uhusiano wao utaharibika.
ikabidi israel kweli walete dawa ndo ikawa pona yake jamaa.
nimesoma zamani kama miaka 10 iliyopita sina hakika kama nimeeleza kwa usahihi

upi sahihi, mission ilienda vibaya ni baada ya kuonekana na mtu mwingine, huyo mtu akapiga mwani wakaanza kufukuzana na ikajulikana ni majasusi kutoka Israel. Asingeona mtu mwingine yeyote mission ingekamilika saafi kimya kimya, na ingebakia watu kuhisi tu kuwa ni majasusi wa Israel basi
 
daah yaani kama naona movie vile...

Wakati nasoma hivyo vitabu na mimi nilikuwa naona kama movie, zile mission wanazoigiza kumbe huwa zinafanyika kweli!! Nikasema duniani kuna mambo hatari yanaendelea sie raia wa kawaida hatujui chochote, tunasikia matokeo tu, fulani kauawa fulani kapotea baas
 
Shukrani sana ! Umeiwasilisha kitaalam sana. Uwezo wa magaidi pia unatokana na wanaojiunga kua ni wale wenye vipaji vikubwa vya akili sana.
 
Pia namtafuta zile failure mbili za mossad, moja ilikuwa Norway baada ya hapo agents kumuua waiter badala ya kumchanganya na suspect. Mossad sita waliishia jera kabla hawajakimbia. Na revenge ya black September ikahairishwa hadi baada ya miaka kumi msako ukaendelea.

Kuna failure nyingine pale walipoanzisha secret Intelligence unit within mossad, ambayo ilikuwa ni very high profile ikijulikana na wakuu wachache tu waisrael. Lengo nilikuwa ni kuichunguza marekani. Jamaa mmoja wao alishtukiwa na cia hiyo failure ikasababisha kikundi life KBS.
Mkuu Kama unaweza ukanipa juu mchongo kisahihi vzr. Napenda Sana hizi mambo.
 
Failure za mission zipo nyingi mkuu, nitazipitia niandike. Ila kwenye vitabu vyao mafanikio ndio mengi huandikwa.Marekani na Israel walikubaliana wasichunguzane, japo Israel ilifanya hivo. Kipindi kile taifa changa walihitaji siri nyingi hasa za kijeshi. Namkumbuka bwana Jonathan Pollard huyu alikuwa intellejensia ya jeshi Marekani lakini alikuwa akiiba siri kwa ajili ya Israel, siri za jeshi alivyokamatwa mpaka mwaka jana alikuwa jela na makubaliano walitaraji wamuachie mwaka huu.wakati pia Israel wanatengeza silaha za nyuklia Marekani haikufurahishwa na hilo kwani kipindi hicho ilikuwa pia na urafiki mzuri na nchi za kiarabu ikiwemo Iran chini Shah mabaye alikuwa rafiki wa marekani.kuna spy mwingine nimemsahau kidogo ila yeye hakukamatwa.haya lakini yalikuwa mwanzoni mwanzoni mwa uhusiano wao hasa chini ya Keneddy kama sikosei kiasi na yeye akaanza kuwachunguza Israel kupitia CIA. Wengine wataongezea
 
Hizbolah ni freedom fighters ... hamas ni freedom fighters ... ni magaidi mbele ya macho ya makafiri na Jews tu. ..

You are right on this specific quote,lakini ondoa hilo neno 'makafiri'.
This world is full of fiction.We are not civilized yet unless we take MONEY out of equation.Sipendi kuona hiki kinachotokea sasa duniani.Kuhusu suala la ugaidi,lina maana nyingi kutegemea na perception ya mtu.Gaidi kwa mtu mmoja anaweza kuwa shujaa kwa mwingine na kinyume chake.Pia unaweza kumuona gaidi kwa mwingine kama shujaa kwako lakini pia ukadanganyika na muonekano huo,hii inategemea na uelewa wa mtu kuhusu mambo yanayoendelea katika dunia hii.Angaline mlinganyo huu hapo chini;

1.HEZBOLLAH:Ni kikundi/wapiganaji kinachounga mkono wapalestina/Hamas.Kuna watu wanawachukulia hawa kwamba wanapigania dini.Hezbollah sasa wanapigana Syria kumtetea Bashar al-Assad.

2.ALQAEDA:Ni kikundi/wapiganaji.Kuna watu wanawachukulia hawa kwamba wanapigania dini.Alqaeda ni moja ya kikundi kinachopigana Syria ili kumng'oa Bashar al-Assad.

Kutokana na hypothesis ya hapo juu inaonekana kwamba HEZBOLLAH na ALQAEDA wanapingana na kupigana.Hivyo dhana ya kutetea dini inaleta mashaka hapo.Sasa tujiulize,Hezbollah ni gaidi kwa nani na ni shujaa kwa nani pale Syria?Pia Alqaeda ni gaidi kwa nani na ni shujaa kwa nani pale Syria?
If you follow the MONEY you will get an answer.The only solution to getting rid of all these chaos is RESOURCE BASED ECONOMY after taking MONEY out of equation.This is real human civilization,under this system of life,all what we appreciate now such as FORBES,ADVANCED WEAPONS,SOLDIERS and MONEY will be useless and kept in memorial centers for our children to use on learning about the history of their uncivilized ancestors.
 
stori ni nzuri kwani haichoshi kuisoma na inaacha maswali mengi na cha zaidi ni tunajua mambo yanayoendelea katika ulimwengu huu.kama waowalitega bomu na kuua huku wakiwa nauhakika kua huyo jamaa angeingia katika gari hiyo
je ni kwa nini wasinge mvamia na kumkamata akiwa hai?
hapa ndio tunapoona tofauti ya vyombo vya usalama vya kwetu na vya kwao,yani wakikuchoka hata kama wanauezo wa kukukamata wanakuua tu.
sasa waue wa Afrika utasikia haki za binadamu na makolokolo kibao.
 
Back
Top Bottom