Mtu aliyewasumbua majasusi wa Mossad kwa miaka zaidi ya 20 kufanikiwa kumuua

Anajivunia nani??!!!
Neno ugaidi inategemea uko upande gani na tafsiri yako inaegemea paradigm gani juu ya matumizi yake. . . . .ingawa sikubaliani na (ugaidi??!!!)
Hebu msome (Machiaveli???!!) juu ya retaliation. . . . .

Habari hiyo inataka jicho la tatu kuielewa maana ina maswali na.mafundisho mengi sana haswa kwa wewe "uneyuogopa" ugaid kiasi hutaki kufikiri. . . .
1. Wanapata wapi mafunzo??!!
2. Wanachaguliwa lini, wapi na kwa vigezo gani maana wanaovuma ni "watu" haswa. . .!!!
3. Link zilizopo kati ya makundi hayo ya "kigaid" na backbone yao. .
4. Je ni kweli wana uhusiano na vikosi fulani fulani vya ulinzi katika nchi fulani fulani mathalani umesoma hapo drug dealer nchini X ni informer wa force Z nchini G . . . . wakati nchini G unga hauruhusiwi. . . ."sabotage" hiyo ni accidental au planned and sustained project?!!

Mi nadhani badala ya kuwa na chuki zinazo "curb" akili anza kutazama ugaid kama mfumo mpana sana
Shukrani mkuu, we must learn to live together as brothers and sisters to flourish or as a FOOLS to perish.
 
Nyingine inaitwa

Kill him silently (episode one na Two) ya Aljazeera hii ni shida

nyingine inaitwa What killed Arafat

Nyingine AGENTS OF ISRAEL


utajua Mossad wanavyohusika na matukio mazito middel east ili waendelee kuexist
Yeeaaahhh, hao jamaa ni MAGAIDI kuliko hao wanaoitwa hivyo, ila good people wapo silent
 
iko youtube! tafuta Mossad the world's most killing machine

Wale jamaa hawafai walimuua huyo weita Mbele ya mke wake Mjamzito kwenye mlango wa nyumba yao kumbe wamemananisha

Na hawakuomba msahama wala samahani....

Nafikiri uliona yule scientist alivyokufa aliyebuni SUPER GUN aliitwa Gerrard Bull ambayo hiyo super gun alikuwa anamtengenezea Saddam Hussein wakamvamia kwenye apartment yake huko Ubeligiji mji wa brussels na kumpiga risasi 5 za kichwa na kutoweka

na kesho yake vyombo vyote vya israel vikasambaza habari kuwa kauliwa na Agents wa Iran...

siasa za Middle east ni balaa
 
Wale jamaa hawafai walimuua huyo weita Mbele ya mke wake Mjamzito kwenye mlango wa nyumba yao kumbe wamemananisha

Na hawakuomba msahama wala samahani....

Nafikiri uliona yule scientist alivyokufa aliyebuni SUPER GUN aliitwa Gerrard Bull ambayo hiyo super gun alikuwa anamtengenezea Saddam Hussein wakamvamia kwenye apartment yake huko Ubeligiji mji wa brussels na kumpiga risasi 5 za kichwa na kutoweka

na kesho yake vyombo vyote vya israel vikasambaza habari kuwa kauliwa na Agents wa Iran...

siasa za Middle east ni balaa

hawa jamaa mossad nimewavulia kofia mkuu
 
You are right on this specific quote,lakini ondoa hilo neno 'makafiri'.
This world is full of fiction.We are not civilized yet unless we take MONEY out of equation.Sipendi kuona hiki kinachotokea sasa duniani.Kuhusu suala la ugaidi,lina maana nyingi kutegemea na perception ya mtu.Gaidi kwa mtu mmoja anaweza kuwa shujaa kwa mwingine na kinyume chake.Pia unaweza kumuona gaidi kwa mwingine kama shujaa kwako lakini pia ukadanganyika na muonekano huo,hii inategemea na uelewa wa mtu kuhusu mambo yanayoendelea katika dunia hii.Angaline mlinganyo huu hapo chini;

1.HEZBOLLAH:Ni kikundi/wapiganaji kinachounga mkono wapalestina/Hamas.Kuna watu wanawachukulia hawa kwamba wanapigania dini.Hezbollah sasa wanapigana Syria kumtetea Bashar al-Assad.

2.ALQAEDA:Ni kikundi/wapiganaji.Kuna watu wanawachukulia hawa kwamba wanapigania dini.Alqaeda ni moja ya kikundi kinachopigana Syria ili kumng'oa Bashar al-Assad.

Kutokana na hypothesis ya hapo juu inaonekana kwamba HEZBOLLAH na ALQAEDA wanapingana na kupigana.Hivyo dhana ya kutetea dini inaleta mashaka hapo.Sasa tujiulize,Hezbollah ni gaidi kwa nani na ni shujaa kwa nani pale Syria?Pia Alqaeda ni gaidi kwa nani na ni shujaa kwa nani pale Syria?
If you follow the MONEY you will get an answer.The only solution to getting rid of all these chaos is RESOURCE BASED ECONOMY after taking MONEY out of equation.This is real human civilization,under this system of life,all what we appreciate now such as FORBES,ADVANCED WEAPONS,SOLDIERS and MONEY will be useless and kept in memorial centers for our children to use on learning about the history of their uncivilized ancestors.

Precisely. I have always been thinking of writing something like this ila kwa upana ili watu waache kupigizana kelele humu kwa sababu ya watu wanaotafuta ugali wa watoto wao.
Kifupi, kuna vitu vikuu vinavyoongoza dunia na kikubwa ni pesa.
 
Failure za mission zipo nyingi mkuu, nitazipitia niandike. Ila kwenye vitabu vyao mafanikio ndio mengi huandikwa.Marekani na Israel walikubaliana wasichunguzane, japo Israel ilifanya hivo. Kipindi kile taifa changa walihitaji siri nyingi hasa za kijeshi. Namkumbuka bwana Jonathan Pollard huyu alikuwa intellejensia ya jeshi Marekani lakini alikuwa akiiba siri kwa ajili ya Israel, siri za jeshi alivyokamatwa mpaka mwaka jana alikuwa jela na makubaliano walitaraji wamuachie mwaka huu.wakati pia Israel wanatengeza silaha za nyuklia Marekani haikufurahishwa na hilo kwani kipindi hicho ilikuwa pia na urafiki mzuri na nchi za kiarabu ikiwemo Iran chini Shah mabaye alikuwa rafiki wa marekani.kuna spy mwingine nimemsahau kidogo ila yeye hakukamatwa.haya lakini yalikuwa mwanzoni mwanzoni mwa uhusiano wao hasa chini ya Keneddy kama sikosei kiasi na yeye akaanza kuwachunguza Israel kupitia CIA. Wengine wataongezea

Hongera kwa post nzuri.....daah...kama vile na ww ni mdau vile wa ndani wa haya mashirika ya kijasusiiii!
Hiz excerpts ni kutoka kitabu au movie gani umezipata?
 
Hongera kwa post nzuri.....daah...kama vile na ww ni mdau vile wa ndani wa haya mashirika ya kijasusiiii!
Hiz excerpts ni kutoka kitabu au movie gani umezipata?

Hapana mkuu mimi sio mdau ndugu yangu, mimi raia tu wa kawaida sema napenda kufatilia na kujua vitu vingi, vitabu vinavyoelezea vitu hivi viko vingi sana, huwa napenda kusoma vile ambavyo vya uhalisia, sio finction. Mfano ni kitabu hicho nilichokitaja hapo cha Spies against armageddon , kingine kinaitwa Gideon's spies,kingine by way of deception, hivi vya middle east sana sana Israel, A spy'revenge cha waingereza, na The Quest for C and foundation of secret service kinaelezea jinsi shirika la ujasusi la MI6 au SIS ilivyoanzishwa na mambo mengi.Na kuna kingine nimeagizia kinaitwa Duet in Beirut kinaelezea assassination unit ya KIDON, kwa hapa bongo kuna jamaa anaitwa Godwin Chilewa aliandika kitabu kinaitwa IJUE IDARA YA USALAMA WA TAIFA nilisoma makala zake aliandika vichache ila akatengeza kitabu kinapatikana Amazon nilijaribu kununua online ila ikashindikana japo yeye haelezei matukio yeyote, Vitabu hivi vinakupa uhalisia wenyewe na matukio yaliyotokea, Movie na TV series pia unaweza jifunza mambo fulani kwa sababu movie zingine zime base kwenye vitabu lakini zingine zinakuwa ni finction hazina ukweli. movie ziko nyingi saaana, wewe search tu google spy film. Tv series inayofundisha mambo mengi ni Burn Notice, zingine ni the americans, homeland, covert affairs, n.k wadau watakuongezea. Mengine najifunza humu humu, pia tafuta documentaries youtube utazipata. Vitabu vya spies against armageddon na gideons spies nimewahi apload humu, kuna thread inazungumzia KIDON mwisho wa makala niliweka vitabu hivyo, vingine wadau watakupatia ukiomba. Elimu ipo wazi tu
 
mngony tuwekee mambo hadharani juu ya hili.

ushiriki wao hauelezwi vizuri mkuu, japo jasusi wao hodari na nguli barani Afrika alikuwepo Zanzibar wakari wa mapinduzi. Tufatilie wote kisha tuje tujadili
 
Itafute Youtube...kwa neno Kill him silently

waliingia jordan vijana wawili mwaka 1997 wakiwa na passport za Canada..Wakati Khalid na bodyguard wake wakija ofisini Mji wa amman jordan alipuliziwa SPRAY sikio la kushoto na wakatoka nduki

bodyguard wa pili akawakimbiza mpaka akawakata baada ya kupigana sana barabarani...

walipokamatwa Canada ikasema haiwafahamu na ndo wakasema wao ni MOSSAD AGENTS

wakati huo khalid amezima (comma) respiratory system zikaanza kufeli akapelekwa hospitali ya mfalme Hussein hakuna Tiba...

Bill clinton ndiye aliye mpa pressure Netanyahu kwani Jordan na Israel walikuwa na Peace treaty mwaka 1994 ya kumaliza uhasama...

King akasema akifa Khaled Peace treaty inakufa nayo na ana storm Israel embassy kule Amman

wakaleta antidote na sharti lingine wakaomba aachiwe SHEIKH AHMED YASIN

israel ilikuwa haina jinsi ikawaachia na khalid akaletewa dawa akapona baada ya kupoteza fahamu kama siku 5

Umeelezea vizuri sana ile sumu ni nusu kaputi unalala unapitilza hukuhuko na kifo kinakukuta na ndio ilikua objective jamaa akutwe kafa kwenye gari akiwa kalala usingizi
 
Back
Top Bottom