Mkuu umevuta bangi nini,Roho haifi mwili ndio hufa so ukifa roho inabadilishiwa housing nyingine/mwili kisha inaendelea kula bata wakat wewe unaliwa na minyoo ndani ya gheto la ardhini.
Hulali ww,? MakinikiaHujui ile theory ya mtu akifa hapa anazaliwa kwingine?
NB.Bangi natumia sana hasa ukitia ndimu na tui la nazi kachumbali pembeni
Mkuu hii ki2 ya roho kuhamia mwili mwingine ni faith ya ma budha huko na hindu (kwa ujumla buthisms wote) ila kwa dini nyengine not applicableHujui ile theory ya mtu akifa hapa anazaliwa kwingine?
NB.Bangi natumia sana hasa ukitia ndimu na tui la nazi kachumbali pembeni
Wasaalam wanajamvi,
sina maana ya kutaka kuchimbua imani za watu na nisingependa hata katika majadiliano watu waanze kukashifu dini za wengine.....
wengi wetu tunaamni kua mwili, nafsi na roho n vitu tofauti....
mtu akifa inakua na maana kua mwili umejitenga na roho...je roho hii iliyojitenga na mwili hua inaenda wap?
Mkuu, suala la kwanza na muhimu kujiuliza na kujibu kabla ya kupata ufumbuzi wa swali lako ni je, unaamini katika roho? je mtu akifa si ndo mwisho wa kila kitu? kama unaamini kuna roho na maisha ya baadae sasa ni namna gani ulimwengu umedhibitisha uwepo wa roho? je roho ni nini na inakaa sehemu gani mwilini na ina kazi gani katika mwili? je wanyama wengine kama paka, ng'ombe, kuku nk wana roho pia?Wasaalam wanajamvi,
sina maana ya kutaka kuchimbua imani za watu na nisingependa hata katika majadiliano watu waanze kukashifu dini za wengine.....
wengi wetu tunaamni kua mwili, nafsi na roho n vitu tofauti....
mtu akifa inakua na maana kua mwili umejitenga na roho...je roho hii iliyojitenga na mwili hua inaenda wap?
Ukifika kaburini.
Unarudishia roho yako.kama wa motoni adhabu inaanza pale pale,,
Na kama wa peponi raha zinaanza palepale.
Hyo imani ya uislam.
pale ni mwanzo tu.na kaburi linabana na adhabu zipo.na kiama kipo.parapanda italia na wooooote tutafufuliwa kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho,mbingu zitakuwa milango tutakwenda kwa mungu kuhesabiwa na kulipwa.una maana
una maana jehanam ni kaburi ulilozikwa? na vipi wanaosema kua kuna siku moja ya hukumu.....ambapo wote tutahukumiwa!!
Mwili- Kaburini
Roho- Mbinguni/ motoni
Nafsi inaendaga Wapi? Maana mwanadamu ana nafsi, Roho na mwili
Uvivu wa kufikiri huuMUNGU ndy anayejuwa TUKIFA WAPI TUNAKWENDA....no one else
Na wewe unataka kuwa mungu?