Mtu akifa anaenda wapi?

Kantri siji naye manyaku nyaku yasije kunibebea bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] wizo mbona kama hujiaminii jamanii
 
Mm naonaga wakizikwa makaburini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] wizo mbona kama hujiaminii jamanii
Akhu! Masihara na mume wangu sitaki 🤣🤣
Hamchelewi kujipitisha pitisha mpite naye
Mume anauma wizo, kina mr mitraako wanammendea 🤣🤣🤣
 
Mbona mifano ipo....mbegu ukiizika nini kinachofuata...? Bila shaka itachipua

Ila kuna vtu inavihitaji ili ichipue...

-sawa na binadamu ipo sku atafufuliwa na maisha yataanzishwa tena.
 
...ameumba umauti akaumba uhai kisha umauti tena kisha uhai...
 
Mtu akifa anaenda aliko toka kwao kwa muumba wao hapa sio kweo
 
Akhu! Masihara na mume wangu sitaki [emoji1787][emoji1787]
Hamchelewi kujipitisha pitisha mpite naye
Mume anauma wizo, kina mr mitraako wanammendea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mr. mitraaakoo anapelekewa motrooo?
 
Kwan wizo hujui?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona muda sema aliniambia nisimwambie mtu km yeye kisura wa Mbeya [emoji23]
uwiiihhhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85] wizo naogopaa [emoji85][emoji85][emoji85]
 
La muhimu ni kuelewa namna uhai/functionality katika viumbe/viundwa unavyo tokea. Uking'amua hilo utapata jibu mujarabu. Kila kumbe au kiundwa kina ukomo wake/expiry time/kifo. Kwa lugha rahisi kitu kikiexpire/kikikoma/kikifa hakiwezi kamwe on its own kuwa hai tena!
 
Hapa kuna physically na spiritually, wanaosema mtu akifa ndio mwisho wake hakuna muendelezo wamebase physically but spiritually life goes on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…