Mtu akifa anaenda wapi?

Jamaa ni Kama umeingia akilini mwangu, (ENERGY)
 
Kifo ni utani wa ulimwengu "cosmic jokes".
Swali la mtu akifa anaenda wapi halihitaji jibu nje ya uzefu wa mtu..mfano mtu kuwepo "uwepo wa mtu upo wapi?"au mtu yupo wapi (mwili, nafasi au roho?).

Kujua uwepo ndiyo msingi wa kuelewa kila kitu. Akili ya mwanadamu inafungwa na muda na mahali katika ulimwengu wa vitu "physical realm".Mtu hatawaliwi na vitu "ukweli huu kila mtu huukumbuka anapokuwa kwenye kitanda cha kifo "deathbed"

Nadhani tukianza kwa kujiuliza mtu anapokuwa amelala au ndotoni huwa anakwenda wapi ni njia ya kuanza kuelewa mtu akifa anakwenda wapi?.Usingizi ni zoezi la kifo linalofanywa na viumbe wengi mno. Tukianza hapo tutaliendea jibu pasi na madhaka mengi.

Kujiuliza jambo bila uzoefu ni sawa na kutafuta maarifa ya kisichojulikana "knowledge of unknown". Sifa kubwa ya maarifa yasiyojulikana ni hofu. Tunapotafuta jibu la swali hili Kwa hofu ni dhahiri tutaishia kwenye mashaka na hofu kuu.
 
Umegusa hizo dimensions/realms vizuri mno
Be blessed..
 
Hii hali ishanipata!!

Unamaanisha nimekufa?
 
First you don't exist at all in this world,

Then you are born and come to existence,Then you live your whole life, Then you die.

Then you go back to non-existence, So this whole Life is just an interruption of not existing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…