Mtu agonga treni Tabata relini

Pole sana Mkuu uliyopoteza maisha mpaka watu wazoee hii treni tumekwisha.
 
Duh!Inaonyesha alikuwa amelewa sana aisee!Yaani honi ya treni ilivyokuwa na sauti kubwa vile lakini hakusikia! Pole zake sana lakini sasa aamini kuwa ulevi nomaa!!
 
wananchi wanapaswa wapewe elimu kuhusu njia za treni wengi wameshasahau
 
hivi treni huwa halina breki hadi ionekane kuwa mtu anaigonga. Huu ni upendeleo wa hali ya juu huwezi kusema eti treni linagongwa

Mkuu breki treni si kama ya Vitz. Unaweza kuua watu wengi ili kumuokoa mlevi mmoja wa mataptap?
 
hivi treni huwa halina
breki hadi ionekane kuwa mtu anaigonga. Huu ni upendeleo wa hali ya juu
huwezi kusema eti treni linagongwa

Ni sheria za reli ndio zinasema hivyo,na treni sio kama gari kuwa ukiona kitu basi unaweza kusimama ghafla! hiyo ni locomotvi, si ndo maana ikawekewa njia yake na wutu waiheshimu!
 

Kama wewe ndio operator wa train unakuta mtu relini unafanya nini na speed imechanganya na train si kama gari unapiga break unavyotaka?
 
Huyo atakuwa teja au mlevi wa hizi pombe zisizokuwa na viwango!!! Rest in Peace!!! Kawaida break ya train inachukua muda mrefu kufunga so hakuna cha kushtukiza break!!! Ikikuvaa imekuvaa!!! Ndiyo train zetu za enzi za adamu na hawa!! Ila pia hata za nje kwa kasi ile ya umeme sidhani kama ina break ya ghafla ndiyo maana kama inatokea mbali na ni kivuko cha gari/miguu basi ile mitaa mekundu inaanza kuashiria mapema kabisa kukuasa usipite.
 
Kama wewe ndio operator wa train unakuta mtu relini unafanya nini na speed imechanganya na train si kama gari unapiga break unavyotaka?

Kwa garimoshi hili la katikati ya mji unataka kuwatetea wahusika mkuu kweli?

Jibu la swali lako ni kwamba ningesimamisha hicho chombo kwasababu hizo hapo chini
1.Kama hujui dereva wa hii kitu anauwezo wa kuona umbali mkubwa angalau mita zisizopungua mia moja

2.Pia wanatakiwa kwenda mwendo wa wastani hapa mjini sababu ya mazingira na wingi wa watu.

3. risk assesments ilikua kwa upande mmoja tu toka kwa dereva wa hiii kitu. Alijali sana abiria wake kuliko uhai wa jamaa katika reli.Hili wanalifanya sana madereva wa vyombo vingi vya usafiri wa barabarani na na majini.Mifano unayo mkuu siwezi weka hapa

ONCE IS A MISTAKE,TWICE IS A CHOICE
 
Duh!Inaonyesha alikuwa amelewa sana aisee!Yaani honi ya treni ilivyokuwa na sauti kubwa vile lakini hakusikia! Pole zake sana lakini sasa aamini kuwa ulevi nomaa!!

Hizo treni za hapa mjini kichwa wanafunga hizi 64 na 65 viono vyake kama bajaji mashine ni 88 honi ikipigwa posta ubungo mnaisikia
 
Duh!Inaonyesha alikuwa amelewa sana aisee!Yaani honi ya treni ilivyokuwa na sauti kubwa vile lakini hakusikia! Pole zake sana lakini sasa aamini kuwa ulevi nomaa!!

Hizo treni za hapa mjini kichwa wanafunga hizi 64 na 65 vihoni vyake kama bajaji mashine ni 88 honi ikipigwa posta ubungo mnaisikia
 
Pasi na shaka muhanga atajifunza, siku nyingine atakuwa makini akitoka kwenye ulabu.
 

Ni kweli dereva wa garimoshi huwa anaona mita mpaka mia moja hata mia mbili anaweza kuona lakini kama umewahi garimoshi utakubaliana na mie kwamba ili train isimame huwa kuna communication zinaendelea kati ya dereva na behewa la mwisho (jekundu hivi alafu fupi mara nyingi huifadhi mizigo) ambalo maarufu kama Guard ambapo ndio break za train zipo kwa kuwa kule nyuma huwa ndio anafunga break mdogomdogo kwa ku-pull alafu ikiwa katika very slow motion ndio dereva anasimamisha (sasa sijui kama hayo ya Dar wamefunga hilo behewa (Guard)

Kuhusu speed ya kawaida, hapa speed ya kawaida ni tata but assume speed ya kawaida ni 30km/h, kiukweli hapo bado kwa dereva ambae yupo mita mia kufanya maamuzi ya kufunga break inakuwa ngumu kwani lazima awasiliane na behewa la mwisho la break hivyo ata the time guard ana respond kupunguza ili dereva asimamishe tayari kitu kimemkuta na kumgonga (kikawaida kama umekaa kwenye reli kama wewe ni binadamu wa kawaida train ikiwa kilometre 1 kama inakuja utasikia maana ule mtikisiko wa reli unausikia, plus honi ya train ilivyo kali). Nakubaliana na wewe kwamba kama kuna uwezekano wa driver kusimama asimame lakini kiukweli huyo aliogongwa hakuwa katika hali ya kawaida ya binadamu ndio maana akagongwa kwa binadamu wa kawaida hata wanyama kasoro kondoo na bata tu ni ngumu kugongwa na train kwa kelele zake tu inazotoa kwenye reli na ndio maana sheria ikatungwa kwamba train ikikugonga wewe ndio umeigonga unless kama kuna sehemu walipaswa kuweka kizuizi hasa kwenye makutano ya barabara kama railway hawajaweka kizuizi alafu gari likagongwa hapo sawa ndio railway wanawajibike)

Refers yale mambo yetu ya momentum before collision and momentum after collision ina apply kwenye train maana kama akifunga ghafla atang'oa meno watanzania kibao waliomo kwenye train na reli zenyewe za kichina mabewa yanaweza toka nje ya reli(nilisoma physics kitambo)
 
Pole sana Mkuu uliyopoteza maisha mpaka watu wazoee hii treni tumekwisha.

magamba yamezoea kuuwa kwakilala wanawaza kuuwa wakiamka wanawaza kuuwa
soma vizuri uzi mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…