mtotosix azimwa kama mshumaa!!!

Kweli mke wangu umerogwa. yaani unathubutu kumuunga mkono huyu mwizi wa wake za watu? rudi nyumbani mke wangu, bado nakupenda. mmwaaaaaa...!!!. mia

mkeo nani, huna haya wala huoni vibaya. . . hebu uthibitishie umma km me mkeo lol. . . UNALO LIMEKUGANDA . . .
 
mtunza fedha ni Kongosho, hapo kuna hele itarudi kweli
inabidi tukubali tu hasara.

usikubali hasara coz wenzio washaanza kurudishiwa. haki ya mtu haipotei. kwa wale ambao hawatalipwa wanione niwalipe kwa niaba ya mke wangu kipenzi charminglady. mia
 
Last edited by a moderator:
mkeo nani, huna haya wala huoni vibaya. . . hebu uthibitishie umma km me mkeo lol. . . UNALO LIMEKUGANDA . . .

Mpenzi wangu, usitupe jongoo na mti wake. usitake nithibitishe mbele ya kadamnasi sababu mapenzi ni ya wawili. na hao hao kila mmoja ana mpenzi wake, je walishakuja kuthibitisha kwako?
Hao wanao kutetea wanakuchekea usoni kisogoni wanakusonya.
ndo maana ndoa haijafungwa sababu huyo unayetaka kufunga nae ndoa si mumeo. mumeo ni mimi. pingamizi hilo. mia
 
Mia unadandia gari kwa nyuma mia,
baada ya kuipiga ile ndoa vita kumbe nimejua ni wivu,
pole sana mia.

Mpenzi wangu, usitupe jongoo na mti wake. usitake nithibitishe mbele ya kadamnasi sababu mapenzi ni ya wawili. na hao hao kila mmoja ana mpenzi wake, je walishakuja kuthibitisha kwako?
Hao wanao kutetea wanakuchekea usoni kisogoni wanakusonya.
ndo maana ndoa haijafungwa sababu huyo unayetaka kufunga nae ndoa si mumeo. mumeo ni mimi. pingamizi hilo. mia
 
Achana na hao waume wa darisalama. njoo tujenge nyumba yetu mpenzi. watoto umewacha wanalia kila wakikukumbuka. je huyu alokuteka umemwambia kama umeniachamia watoto wadogo?. mia

na bado mwaka huu,utatema povu sana. . . me na MtotoSix hatuachani ng'o!
 
Last edited by a moderator:
shindwa na ulegezwe kwa jina lako. " unaona haya umefanywa vibaya"

Mke wangu,usiku mlefu. Mimi ni wako hata unishushue huna pakuniweka. njoo tujenge familia yetu. wewe unajua kabisa kwako sizungushi wala sipindui coz i'm slave 4u. mia
 
Hii ndoa ilifanyika?

Ndio mkuu... Tena tuna watoto mapacha watatu!!

Hatuachana miaka mia 8....

beautiful-african-american-triplets-8689358.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom