mtotosix azimwa kama mshumaa!!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,843
Mi nmekaa nasubilia hiyo ndoa ya MtotoSix na charminglady bila mafanikio. Nimejitahidi kuwasiliana na mwenyekiti kamati ya harusi ambaye amesema hadi sasa hajui kinacho endelea coz bwanaharusi haonekani.
Nmemfuata bibi harusi maeneo yao huko kanda ya ziwa, cha ajabu nimekuta analia huku akisema kuna wanafiki wenye roho ya kwanini wanamuonea wivu huku akijitapa hakuna wa kuzuia bahati yake kwa mtoto6.
Hadi sasa ndugu wa bw.harusi wamemficha mtoto wao.
Ndoa ipo mashakani.
habari ndo hiyo. mia
 
Last edited by a moderator:

mimi na mchumba wangu charminglady tumeamua kufanya mambo kimya kimya kutokana na mahasidi wasiotaka kuona hili jambo linafanikiwa, na kuanzia sasa mwanasheria wetu ndiye atakuwa anajibu tuhuma zote mnazozileta kuhusu kufungwa kwa ndoa yetu.

USHAURI: acheni zengwe, maana mchumba wangu alikuwepo hapa muda wote mnamuangalia tu , mimi kumchukua tu tayari mmeanza majungu
 
Mtoto6 mi nadhani kiufupi hii Mazgo ni yako!
Because legally peoples they need the oath from both sides , no matter some voices from family members, what they talkin about ! Kauli ya Charmy keshaitoa na yako imesikika !
Hakuna hata sababu ya kimsingi kufanya mambo sirini ! Kwani hao wavimba macho na wapuliza moto wanaowaleteeni nnzi kwenye shughuli yenu ndo watafanya nini ? Incase kimanumanu kikiwekwa hadharani ?
Ni hivi haogopwi mtu hapa! There'no one who have a mandate to overthrow code of conduct ! whereby insist on respect for the rule of law!
Justice regulatory shall be comply with !
Kuku wako ukamlie gizani inahuu...... ?
 
Last edited by a moderator:
Mtoto6 mi nadhani kiufupi hii Mazgo ni yako!
Because legally peoples they need the oath from both sides , no matter some voices from family members, what they talkin about ! Kauli ya Charmy keshaitoa na yako imesikika !
Hakuna hata sababu ya kimsingi kufanya mambo sirini ! Kwani hao wavimba macho na wapuliza moto wanaowaleteeni nnzi kwenye shughuli yenu ndo watafanya nini ? Incase kimanumanu kikiwekwa hadharani ?[/QOUTE]

Kuku wake wapi ndugu yangu? we acha tu. analo. mia
 
roho yakuuma! halooo o o o o o o. . . mbna unatoa povu hvo. umentafta lini hebu acha uzushi.
MtotoSix hebu kula hii dedication ya mduara. "wacha wacha waseme, watasema mchana ee usiku watalala"
 
Last edited by a moderator:
Hakuna sababu ya kupambana wakati ndoa yako itatambulika kisheria acha atambe mitaani lakini mwisho wa siku hatashindwa kuthibitisha madai yake!

Just relax mimi nipambane nae!
Mipango imefika pazuri wala usijali.

achana nae my huz, em cum ths way tukapate lunch lmao!!!!!
 
Hadi sasa haujaweza kuthibitisha uliyo yaandika! Hebu jaribu!
Naona umefika mbali zaidi unapo anza kumsingizia baby wangu!

Mi nmekaa nasubilia hiyo ndoa ya MtotoSix na charminglady bila mafanikio. Nimejitahidi kuwasiliana na mwenyekiti kamati ya harusi ambaye amesema hadi sasa hajui kinacho endelea coz bwanaharusi haonekani.
Nmemfuata bibi harusi maeneo yao huko kanda ya ziwa, cha ajabu nimekuta analia huku akisema kuna wanafiki wenye roho ya kwanini wanamuonea wivu huku akijitapa hakuna wa kuzuia bahati yake kwa mtoto6.
Hadi sasa ndugu wa bw.harusi wamemficha mtoto wao.
Ndoa ipo mashakani.
habari ndo hiyo. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom