mtoto

uswazi tumeshaanza kuhoji mkuu.....5 years?
Hamuoni mkuu Maxence......

...tajiri na mali yake, masikini na watoto. Si unajua zile za kuzaa watoto wengi huenda mmoja wapo atajakufaa huko ukubwani? ...wao bado bado kwanza...
 
Mtoto si lazma kumpata, akija haya asipokuja kheri tu, yote ya Mola. Waafrika jifunzeni na ku adopt, its the best option for those who dont have, si lazima mtoto atoke kiunoni mwako ndio awe wa kwako. You can adopt and still give them love and care as your own, just change your attitudes. Msiachane kwa kukosa mtoto please.
 
...ebwana wee, Chupaku nakushukuru sana kwa hilo,... yaani inasikitisha idadi ya watoto yatima wanaoachwa wanazeekea kwenye vituo vya kulelea. Nawapongeza wote walojaaliwa ku adopt angalau mtoto moja, ni mfano wa kuigwa.

Bado ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana mtoto, na wengine wanafikia kufarakana eti kwakuwa mkewe anazaa watoto wa kike tu.
 
Back
Top Bottom