mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jan 7, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...pamekuwa na hadithi, simulizi na visa vya kweli kuhusiana na wanandoa ambao wamekuwa wanahangaika kwa njia mbali mbali kutafuta mtoto/watoto bila mafanikio.

  ...is it a big deal kuwa na mtoto katika ndoa? kuna ulazima kabla ya kuoana kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu uwezekano wa ku conceive?
   
  Last edited: Jan 8, 2009
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2009
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Mbu, don't ask questions with obvious answers. Having a child in marriage is of course a big deal. Have you ever wondered how you got here? Are you a big deal to your parents? But then there are single sex marriages, if you can call them that.
   
 3. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yes it is.Wengi hufanya uchunguzi kwa kuzaa kabla hawajasaini makaratasi.
   
 4. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  huku kwetu africa bado mambo ya kupima hamna mnaoana tu .. as watoto wanakua attributed to rehma ya mwenyezi Mungu.. ila as time goes by wanandoa wakichelewa kupata mtoto ndo wanaanza kuhangaika .. tena hapa kwetu everybody sets in relatives na friends kukuulizeni kulikoni .. minongono ikizidi na mateso at some point then the partners wanaanza kuhangaika especially mwanamke .. njia mbali mbali hutumika .. ya hospitali, Kusali na kuomba na hata kwenda kwa waganga wa kienyeji.

  Problem moja najiuliza mtu anaweza akahangaika hivi halafu wanandoa wakija kuachana na watoto hao wanatelekezwa ama wanakuwa hawafai tena maana baba wengi kwa kiasi kikubwa siku hizi wanatelekeza familia .. does it mean hapa watoto dont matter anymore?

  Kungekua na kigezo cha kupima aftermath ya marriages kuangalia hatima ya watoto then mtu unamzalia au la
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Thanks RUGE OPINION,

  ngoja nikwambie kwanini nimeuliza hivyo.

  Mwenzangu kazini alimuoa childhood sweetheart wake, wakaishi maisha ya ndoa miaka si chini ya mitano. Humo walijaaliwa kazi na maisha mazuri sana, mtoto tu alikosekana.

  Baada ya mwanamke kuhangaika sana kuchunguzwa vipimo bila dosari yeyote yeyote, ikaja gundulika mwanaume ndio ana xtremely weak and low sperm count. yaani hata wangezi boost vipi, isingewezekana mwanamke ku conceive.

  wameachana bwana, mwanamke aliondoka kwa kasfa na matusi mengi kewa jamaa, ndio ilivyokuwa mwisho wa ndoa yao, na jamaa hana hamu hata ya kuoa tena.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...RUGE OPINION,

  ....naamini ushawahi sikia lawama, kashfa na matusi wanayotupiwa wanawake TASA, ...nini hukumu yako kwa mke ambaye ameshindwa kukuzalia mtoto kwasababu za bilateral salpingectomy (kuondolewa mirija ya uzazi) au matatizo ya mwanaume mwenye erectile dysfunction au abnormality sperm count? ...waachane kwakuwa mtoto muhimu?

   
  Last edited: Jan 8, 2009
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huo ndo ujinga ambao unatesa watu wengi. Nawajua wengi tu ambao wanaume wanakataa kwenda kwenye vipimo eti mwanamke pekee ndiye anaweza kuwa na matatizo ya ugumba. Hiyo low sperm count sidhani lilikuwa tatizo la kuwafanya washindwe kupata mtoto. Labda suala la pesa lakini naamini wangeweza kupata mtoto hata kwa kutungia mimba kwenye test tube kwa vile mwanaume alikuwa na viable sperms (kama hayo maelezo hapo juu ni sahihi).
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...I totally agree with you Dark City. na hata hilo la In Vitro Fertilization treatment, IVF ambalo umelizungumzia, ni baada ya mwanaume kukubali naye aangaliwe kama ana abnormality.

  Hivi Tanzania kuna hospitali zenye kuwasaidia wenye mapungufu haya, au wangali kwenye giza la 'IVF is against moral issues' ilhali wanawake "tasa" wanaendelea kunyanyasika na ndoa kuvunjika?
   
 9. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Its unfortunate that our cultures have continued to blame and mistreat women on this grounds, like it always has to be the woman, never the man with fertility problems. Ila naye huyo binti kwa nini akamtukana mwenzake, unless alikuwa keshabandikiwa blamed kuwa problem anayo yeye and was soem form of pay back after kugundua dume ndilo lenye shida.
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...naaam naaam, nakubaliana nawe shishi, wanasema karma, 'what goeas around comes around,' huenda baada ya inlaws kuponda sana 'mwanamke hafai, alichezea ujana wake, nk nk,' mke anaamua kuutua mzigo.

  Katika mambo haya ndio utakuta kwenye nyumba nyingine mw'mke baada ya masimango mengi, ana cheat halafu huko ananasa mimba. Kwa ujinga wake wa kutopima, dume linashangilia mtoto, kumbe 'kasaidiwa'
   
 11. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [QUOTE Katika mambo haya ndio utakuta kwenye nyumba nyingine mw'mke baada ya masimango mengi, ana cheat halafu huko ananasa mimba. Kwa ujinga wake wa kutopima, dume linashangilia mtoto, kumbe 'kasaidiwa'[/FONT][/QUOTE]

  Actually this practice was very common enzi za mababu zetu kuondoa aibu ya kuwa mume hawezi,,basi the lady wd get children from other men, dume ndio anagalu lipate uso...
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sina hakika na sehemu yoyote Tz ambayo wanafanya IVF. Ila najua Nairobi kenya wana sperm banks kwa hiyo naamini haya hata IVF watakuwa wanafanya.
   
 13. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  IVf Kenya inafanywa sana japo the costs are high..
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Watu wameshaanza kuhoji mbona Ndoa ya Jide na gadna haijibu ilihali ina miaka mi5 sasa...
  [​IMG]
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...huenda bado 'wanadunduliza' ngawira kwanza.
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  uswazi tumeshaanza kuhoji mkuu.....5 years?
  Hamuoni mkuu Maxence......
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Size ya Font zako inaboa kishenzi
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Kwa ndoa zetu za Kitanzania na za Kiafrika it is a big deal kuwa na mtoto katika ndoa au vinginevyo kutakuwa na maneno maneno ya ndugu, jamaa na marafiki wa pande zote mbili ambayo yanaweza kusababisha ndoa yenu kuingia dosari na hatimaye kuvunjika.

  Sasa hivi katika nchi nyingi za magharibi kumezuka watu, wanaume na wanawake, ambao pamoja na kupenda kuoa au kuolewa lakini hawataki watoto kwa madai mbali mbali yakiwemo they are very expensive, it is very difficult to maintain the same lifestyle once you have children (wanatoka na kuingia saa yoyote wanayotaka na kuchapa usingizi bila bugudha yoyote ile). Sijui kama hii lifestyle ya kuoana na kuamua kutokuwa na watoto itaingia Tanzania na nchi nyingine za kiafrika, lakni dunia inabadilika labda miaka 15 au 20 ijayo watu wenye msimamo kama huu wanaweza wakawapo pia Tanzania na nchi nyingine za Kiafrika.
   
 19. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2009
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sawa kabisa hata mimi nilitaka kumwambia ndugu yetu maana macho yetu wengine yemezeeka!lol.
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,692
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kwamba wangeweza kupata mtoto kwa mwanaume kutoa nanino zake halafu zikapigwa boost kitaalamu na kujaribu kumuingiza kwa njia ya kitaalamu ili apate mimba, lakini ni gharama kubwa mno na sidhani kama Tanzania huu utaalamu wa kuwasaidia wanaumw wenye low sperm count umeshaingia. Unahitaji kuwa na at least $10,000 au zaidi kama sikosei.
   
Loading...