Mtoto wangu nitamuita Ruge

Haitasaidia sana ukimpa hilo jina mwanao, mfanye afanye mambo mazuri aliyoyafanya Ruge na ikiwezekana afanye vizuri zaidi.

Maombi yako ya kupata Mume yasikilizwe na ufanikiwe
 
Unadhani mtoto akiitwa Obama ndio atakuwa kama Obama,ni hivi jina linafanya kazi endapo litarisishwa kwa mtu ambaye mmeshare DNA kwa namna moja ama nyingine!
Ili lengo lako litimie tafuta ndugu yeyote damu moja na Ruge akufanye single mother kisha ndoto yako itimie

Sent by Diaspora
 
Mbona hilo jina ni common sana kwa watu wanaotoka Kagera ni undezi sana kutaka kumuita nwanao jina kisa umesikia linavuma sana kuna kipindi lilivuma sana jina la sharon kila mtoto alikua anaitwa sharon
 
Anaitwa Rugemalila
Ni jina la kihaya.. Kama we muhaya muite hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani Wabongo hatunaga makuu; Ndugu zetu wakaitwa Samora, Lumumba bila hata ya kujua maana yake!! Haidhuru, hata Mngoni akitaka kuita mwanae Rugemarila, aite tu, hamna namna😉
 
Ruge was the genius and a good person and all that,I get it...but

I really doubt the quality of decision making skills za Ruge,kama mtu hujui maana ya condom!

We are all humans,kuuza mechi happens ila sio kwa consistency namna hii!

Unachezea uhai wako na partner wako na kuleta watoto wasiokua na plan plus all other life threatening inconveniences!
 
Muulize lady JD.
 
Sio JIWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichelewe mtoto mm hata ukitaka tumuite Ruge Jasiri haina shaka
 
Aliwaongoza ma model wenye majina makubwa sasa nchini wanaoishi nchi za nje pia na kufanya kazi zao vizuri hadi kesho

Flavian, Magesa, Odemba etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…