Mtoto wangu mchanga tumbo linajaa gesi,anasumbua usiku hatulali

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
naomba ushauri wana jf, katika familia yangu tumejaaliwa kupata mtoto wiki tatu zilizopita. ila mtoto tumbo linajaa gesi na mtoto anasumbua sana usiku wote. naomba ushauri wenu
 
mtoto akiwa ananyonya hakikisha position aliyokaa ni nzuri na chuchu yote iingie mdomoni

1570201580186.png
 
Back
Top Bottom