[emoji38][emoji38][emoji38]
Hapo kwanza nicheke
Binafsi una elimu fanya jitihada umbadilishie mwenyewe madogo janja wajuaji sana
Juzi kuna brother mkuu hapa kapigwa laki na mwanae yupo duce eti pesa ya mtihani wa sup na alishampa kitambo aliniambia nikacheka sana mbaya jamaa ana masters amesoma nje kidogo na dogo alisup somo moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nanda kwa huyo aliyesema gharama ni laki na nusu umuulize wewe siyo utume utume kijana wako ambae humuamini.Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?
Nanda kwa huyo aliyesema gharama ni laki na nusu umuulize wewe siyo utume utume kijana wako ambae humuamini.
Hesabu ana UFAULU UPI??Wakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?
We ulikuwa huibi za Wazazi wako wakati unasoma?Aliyenieleza ni mtoto wangu sasa je hauoni nakaribia kuibiwa mchana kweupe
Inawezekana kosa sio lake ivi unauhakika mamaye mtoto hakukuibia kwel kwa kukuongopea kuwa mtoto n wako? maana anatunga uongo kama mm kabisa asjekuwa wangu huyo 😇🙃 kapicha tafadhalWakuu
Selection zimetoka sasa kijana wangu kafaulu masomo ya sayansi zaidi kuliko masomo ya sanaa
Sasa yeye alichagua combination kama PCM , CBG za sanaa hakuchagua bahati mbaya sijui uzembe wa TAMISEMI wamemchagua HKL sasa je naambiwa gharama ya kubadilisha ni laki na nusu, huu nahisi nafanyiwa wizi wa mchana kweupe.
Ni kweli kubadilisha mchepuo ni laki moja na nusu na anasema nimpatie haraka kwamba nikichelewa eti system inajifunga hadi mwakani tupeane mawazo wakuu imekaajekaaje hiyo?
Hesabu ana UFAULU UPI??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu