Mtoto wangu amenyolewa nywele usingizini naomba ushauri

Mtoto wangu amenyolewa nywele usingizini naomba ushauri

Mi imewahi kutokea kuna sku nimeamka nikakuta mtoto na mke wangu wamenyolewa nywele ila nilipotezea tuu na hakuna kilichotoke had leo wapo safi tu tangu 2012 na skuwa na hofu ni upuuzi wa wachawi tu hawana lolote.
 
Trust in Jesus. Ni majaribu ya Ibilisi na mawakala wake. Usiyumbe katika imani yako.
 
Jamani wadau naomba naomba ushauri/msaada. Nimeamka asubuhi wiki iliyopita nikakuta mtoto wangu amenyolewa nyele mpaka leo upara unaendelea kuongezeka sijui nifanyeje.

Naomba mawazo kwa wale ambao yashawakuta
Hiyo haina shida,kwan umedaiwa pesa ya kunyolea???
 
Uwe unaombea familia yko kabla Ya kulala, hutoona tena kanyolewa pia zidisha maombi juu yke nywele zitaota tu tena.... Dawa Ya mchawi ni maombi tu usije ukadanganyika..
 
Pole ndugu haya mambo ya kishirikina yanachanganya sana unawezakuta ni mtu wako wa kalibu ndo anakufanyia hivo vitimbi
 
Hamna dawa zaidi ya maombi kwa jina la YESU,nenda katika makanisa yanayo abudu katika roho na kweli na yanayo ubiri juu ya YESU KRISTO.
 
Back
Top Bottom