best Heaven on Earth mambo vipi? nimekumithijee? tangu tumeangali TPF jumapili hatujaonana tena jameni.vituko gani!!!!!!!!!
halafu hivi unajua maana ya kufunguka
au ndo tuendelee kusubiri part 2
daah jaman habari kwanza umu ndani, mi leo nimeona bora nifunguke kuhusu vituko vya uyu mtoto wa tajiri yangu anavyonifanyia
nashindwa kumuelewa kabisa,
best Heaven on Earth mambo vipi? nimekumithijee? tangu tumeangali TPF jumapili hatujaonana tena jameni.
Hee kumbe kuanzisha thread ni simple hivi?
Maana ukifikiria kitu hata kama kipo nusu unatupia tu wakati unawaza jinsi ya kumalizia