Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,031
Jamaa mwenyewe huyu hapa duh kama ni kweli itamchafulia sana Rostam
Hapa RA hachafuki, jamaa ana miaka 27! ni mtu mzima anayepaswa kuwajibishwa yeye mwenyewe na si baba yake. kwa hili msimhukumu RA.