Mtoto wa Rais Kikwete mlinzi wa mali za UVCCM

Bado wanaotoka watatukanwa,bado majitu fulani yatasema CHAMA HAKIJAGEUZWA CHA MSOGA na wateule wachache wenye asili ya kuvaa misuli!!

Baba mjumbe wa CC,NEC etc zooooteee!!

Mama Mjumbe wa NEC na kadhalika

Mtoto ndio huyo na kila korokoro la madaraka na utajiri

Kutoka Bagamoyo kuna Shukuru aliyewambwa kwa uwaziri na UNEC,kutoka mdogo wake na mzee wa moto wa Mabua pia ni NEC

Kuna HAWA WENYE GHASIA TOKA LINDI na uwaziri wa utumishi na serikali za mitaro,pia MNEC

N'a bado lilist lirezzfuuu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom