mkonyezaji
Senior Member
- Jan 22, 2014
- 154
- 20
Mmhh? Kojoa ulale
Huyu jamaa alishapima kimya kimya jana yake, then akawaita waandishi waje wampige picha wakati wa kupima (siasa hizi)!
Hizi picha zinaoneka ni za kuarifiana, kwa sababu pia vyumba viko closed, mtu hawezi kupiga picha kimya kimya bila kuonekana.
Mkuu ndo udaku huo kama ulikuwa hujui.
keshokutwa utasikia kaongoza kura za maoni!!?