Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

Mtoto wa nyoka ni nyoka. Tazama picha.

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,424
Reaction score
28,716
Watoto walimsalimia baba akiwa gerezani.

Baba Alivyotoka, akajikuta anarudi tena gerezani ila mara hii kumsalimia mwanae.


c52a795d9b15055f73cd082cf2513a23~2.jpg
 
Mbona umemsahau Mke? Kimsingi Wote Mke na mtoto wapo Gerezani(mjengoni pale Dodoma) ila baba ndo keshatoka Gerezani (jumba jeupe magogoni)
 
Yaani mkuu....
Unaweka habari kana kwamba sote tunaishi daslam..🤨
Umetukosea sana mazeee....😑
 
Back
Top Bottom