Mtoto wa nje Kizungumkuti

Mtoto wa nje Kizungumkuti

mwambie anunue time-machine, arejeshe siku nyuma halaf siku ile ya kuchinja avae rambo/
 
kwa vile humu kuna hazina kubwa ya mawazo imenilazimu nilete hii taarifa humu kupata mawazo zaidi.
Jamaa fulani ana mtoto nje ya ndoa. Yeye ni mfanyakazi wa shirika moja la kimataifa na hana shida sana ya fedha ndogondogo za matumizi. Mke ni mjeshi wa JWTZ. Sasa jamaa alipata binti akarusha naye wakati huo mkewe alikua kozi ya miezi kadhaa. Binti akajibu katoto kakazaliwa miaka mitatu sasa. Sasa binti anamsumbua jamaa hasa. Anataka na yeye apewe nafasi na mke wa jamaa amfahamu. Jamaa anamwogopa mke mwanzo mwisho. kwa hivo anambembeleza binti kwa mapeni kumnyamazisha. Binti anakazana na ishu yake na jamaa anazidi kumwaga hela. Binti kampa shariti kuwa akileta lomgolongo anampigia mke wa jamaa simu na kumpa detais zote. Sasa huyu jamaa afanyeje?

Safi sana ndo malipo ya dhambi hayo...yaan haezi muacha dem aliyezaa nae hiv hiv as mtoto atateseka na kwa vile watoto wa nje ya ndoa mara nying wanakua hawathamini wala kua na haki mara tu baba akifariki sasa huyo dada akomae sana sana ajengewe nyumba na kila kitu cha mtoto wake hata ikitokea la kutokea na yeye anakua hana pressure...My take huyo dada awe mwangalifu tu maana hao wajeda wana roho chachu hawakawii kumuwahisha ahera aisee..
 
Back
Top Bottom