Mtoto wa mkulima achia mkono banaa

Mtoto wa mkulima achia mkono banaa

Hapo anamuuliza Hamad "....vp toto hili linafaa kutafuniwa wapi Ngurdoto au Sangita au Dom"?
 
wivu tuu huo!

Acha ushamba wewe. Wewe unaishi dunia gani? Sasa kwa akili yako umemuona ni mwanamke mrembo? Hata mwanaume mwenye makengeza hawezi kumsifia huyo mwanamke. Nywele utadhani gunia la choroko.
Beyonce-Knowles-39230-1-402.jpg
 
chuki binafsi hizo mkuu mtoto mzuri huyo bana! unachuki naye tuu!
 
Back
Top Bottom