Mtoto wa mkulima achia mkono banaa

Mtoto wa mkulima achia mkono banaa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Nilifikiri ni Mukulu peke yake ndio mng'ang'ania mikono kumbe na weye??

PINDA.jpg
 
Sipendi hiyo tabia. Afu unakuta jitu lina sweaty palms, aaaaghh!
 
Hivi ataweza kuyapa umakini hayo mazungumzo yake na Hamad? Shame!
 
Aisee, mbona huyo mwanamke ni mbaya sana. Pua kama testityubu. Sura kama nguchiro.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwanza ilifaa tujue huyu mwanamke ni nani kwa mtoto wa mkulima ndio tupate nafasi ya kuchangia vizuri.
Mwenye kumjua huyu mwanamke atujuze.
 
Kwanza ilifaa tujue huyu mwanamke ni nani kwa mtoto wa mkulima ndio tupate nafasi ya kuchangia vizuri.
Mwenye kumjua huyu mwanamke atujuze.
Angalau tunajua kwa uhakika kuwa huyo sio Tunu.
 
Back
Top Bottom