mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,170
Kukiwa kuna ubishi mwingi wa watu waliozaliwa mjini ni wajanja sana kuliko waliozaliwa kijijini, ubishi huu umekuwepo tangu enzi za mababu lakini siku hizi ndio imethibitika kuwa, wengi wanojiona ni watoto wa mjini ndio washamba zaidi kuliko waliozaliwa kijijini.
Kwanza watoto wengi waliozaliwa kijijini wamepata virutubisho vyote vinavyotokana na matunda, majani, dawa za kienyeji, ndizi mbichi na mbivu, karanga kupata vitamini zaid kupitia jua , mayai ya kienyeji ya kanga, kuku na samaki wa haina zote, hivyo uwafanya wakue vizuri na kuweka akiba ya akili nyingi , ambavyo huwapeleka kuwa vinara kwenye uongozi wa juu pindi wapatapo madaraka baada ya kumaliza shule. Tena watu hawa huwa ni wafnyabiashara wazuri sana mjini, kwani hukutana na hali ngumu ya maisha ambavyo ujenga akili ya kujinyanyua , ndio maana wengi wamefanikiwa kimaisha. Wakati watoto wa mjini, hawapati virutubisho vya kutosha kutokana na umaskini uliotukukuka, mlo mara moja, mapambano ya kati ya konda wa daladala. hivyo uonekana ni watu wa vurugu kama vile kuvuta bangi sigara, utoro shuleni, vibinti kuanza mapenzi kabla ya umri wake. Watoto hawa hutegemea sana urithi wa nyumba au vibanda vilivyojengwa na baba zao, hupenda kujenga vijiwe vya umbeya kama vile kucheza bao, kuzingira maclabu mbalimbali kama vile vijiwe vya mpira na nk. watu hawa huwa hawajishughulishi na uzalishaji kwani wengi wana dharau kazi, uendekeza ushirikina hivyo kuwafanya waache kimaendeleo na watu wa kuja kutoka mikoa mbali mbali kama vile moshi, arusha kagera, mtwara, kigoma mbeya na songea. Watoto wamjini wengi hawajui jiographia ya nchi kwa vile hawajawahi kutembea nje ya mji wao hivyo kuwafanya wawe washamba wa vyombo kama vile meli treni, magari makubwa, ndege na mabasi.
Nahitishisha kwa kusema kuwa watoto wa mjini ndio washamba wa mjini kwa kuwa wao ndio wanuza mali za mababu zao na kusogezwa zaidi kuwafanya wanaoitwa washamba kuwanunua kwa kasi zaidi. Kama kuna ubishi rejea watawala hasa mawazir, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa wote wamezaliwa vijijini.