Habari zenu.. natumain ni wazima wa afya na wale wagonjwa poleni Mungu atawaponya.
Nina mtoto wa miezi mitatu huyu mtoto shida yake kwenye ukuaji yaan haongezeki kilo..alipata shida kidogo wakati alipozaliwa alikua hataki kunyonya ila baada ya wiki moja mbele alianza kunyonya..kwa sasa ana kilo 4 tu.
Ushaur wenu nifanye nini ili mtoto huyu aongezeke na akue.
Asanten.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile ap
key questionsHuyo mtoto unyonyaji wake upoje ananyonya vizuri?
Ananyonya mara ngapi kwa siku?
Je, anakunya mara ngapi kwa siku?
Je, mavi anayokunya ni mengi?
Alizaliwa na kilo tatu kamiliKwani alizaliwa na kilo hizo hizo? Natumaini akianza kula ataongezeka maradufu
Ananyonya sana na wala hakatai maziwa..lakini tu haongezek..najitahid kumnyonyesha sanaHuyo mtoto unyonyaji wake upoje ananyonya vizuri?
Ananyonya mara ngapi kwa siku?
Je, anakunya mara ngapi kwa siku?
Je, mavi anayokunya ni mengi?
Kwa siku anakunya mara moja au mbili akizidisha sana tatu..ila kwa siku hizi anakunya mara moja tu asubuhi mpk kesho tena asubuhiHuyo mtoto unyonyaji wake upoje ananyonya vizuri?
Ananyonya mara ngapi kwa siku?
Je, anakunya mara ngapi kwa siku?
Je, mavi anayokunya ni mengi?
Basi ndo anaanza ku gain mwili kuwa mvumilivuKwa siku anakunya mara moja au mbili akizidisha sana tatu..ila kwa siku hizi anakunya mara moja tu asubuhi mpk kesho tena asubuhi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Alizaliwa akiwa na kilo ngapi mwanao ?Ananyonya sana na wala hakatai maziwa..lakini tu haongezek..najitahid kumnyonyesha sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kilo tatu kamiliAlizaliwa akiwa na kilo ngapi mwanao ?
Hivi yale meno ambayo wanaweka waya gharama zake ni shilingi ngapi?
Sawa je munajitahidi kumpa na maji au ni maziwa tupu munampa huyo mtoto ?
Mtoto wa miezi mitatu maji ya nini?Sawa je munajitahidi kumpa na maji au ni maziwa tupu munampa huyo mtoto ?
Hili ni swali muhimu sana kujibiwa