Mtoto wa miezi mitatu hakui

Mtoto wa miezi mitatu hakui

RUJEINER

Senior Member
Joined
Jan 18, 2018
Posts
129
Reaction score
152
Habari zenu.. natumain ni wazima wa afya na wale wagonjwa poleni Mungu atawaponya.

Nina mtoto wa miezi mitatu huyu mtoto shida yake kwenye ukuaji yaan haongezeki kilo..alipata shida kidogo wakati alipozaliwa alikua hataki kunyonya ila baada ya wiki moja mbele alianza kunyonya..kwa sasa ana kilo 4 tu.

Ushaur wenu nifanye nini ili mtoto huyu aongezeke na akue.

Asanten.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa ananyonya afu hashibi,mwanzishie maziwa ya kopo ataongezeka kilo.Na mama asiwe mvivu kumnyonyesha.
Habari zenu.. natumain ni wazima wa afya na wale wagonjwa poleni Mungu atawaponya.

Nina mtoto wa miezi mitatu huyu mtoto shida yake kwenye ukuaji yaan haongezeki kilo..alipata shida kidogo wakati alipozaliwa alikua hataki kunyonya ila baada ya wiki moja mbele alianza kunyonya..kwa sasa ana kilo 4 tu.

Ushaur wenu nifanye nini ili mtoto huyu aongezeke na akue.

Asanten.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile ap
 
Huyo mtoto unyonyaji wake upoje ananyonya vizuri?

Ananyonya mara ngapi kwa siku?

Je, anakunya mara ngapi kwa siku?

Je, mavi anayokunya ni mengi?
Kwa siku anakunya mara moja au mbili akizidisha sana tatu..ila kwa siku hizi anakunya mara moja tu asubuhi mpk kesho tena asubuhi

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwanza pole Sana kwa Hilo tatizo hakika inaumiza mama kumuona mwanae hasongi mbele iatika ukuaji lakini hiyo itapita Ni suala la muda tu.

Mimi pia niliwahi kupata hyo shida mwanangu alozaliwa na 2.8kg lakini maziwa yalikauka akawa hakunyonya akarudi Hadi 2.1kg Sasa Yani kuirudisha Ile afya ilinigarimu muda mrefu kidogo Hadi anafika miez minne ana kilo5.5. nilikua najitahidi Sana kumnyonyesha kila wakati na Mimi nilikua nakula vyakula vingi kuhakikisha maziwa yanakua na virutubisho.

Ushauri wangu Kama mtoto hasumbui kwa kulia unaweza kutulia tu ataendelea vizuri lakini kama unataka uhakika zaidi wa afya ya mtoto mpeleke kwa wataalam wa watoto
 
Wamama mje kwa wingi huku mtoe uzoefu wenu...
 
Nina maswali kwako je haiwezekan ww una maziwa kidg? Pili Je unajua pia unawez ukawa unayo ila hayan virutubsho vya kumkuza mtoto!? Ukijibu Ayo ntatoa ushsur

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom