akiuza mkewe atapata wapi wa kumzalia mtoto mwingine...??? usiombe ukutwe na UFUKARA( umaskini uliokithiri)
Basi ufukara huu baba huyu atakuwa ameupa definition nyingine, manake akizaa mwingine si ndio ataenda level ya juu zaidi ya ufukara?
Hivi ufukara unapelekea kuoza wanetu wa kiwango cha miaka saba!
Anyways, sijui umasaini kukoje kwa sasa manake hii mambo walikuwa wanaifanya na wao, ila nafikiri wao ilikuwa ni uchumba then mtoto akifikia umri wa kuolewa ndio anapelekwa (wenyewe watatusaidia kuweka rekodi sawa kama nimepotosha)