Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
What the heck is this? Si angeuza mkewe ama ajiuze mwenyewe? Its aselfish decision, period!
heheheheheheheheheheehehhii ndoa imefungwa na kiongozi yeyeote wa kidini?. huenda serikali inapinga huku dini/imani fulani ikiruhusu.
What the heck is this? Si angeuza mkewe ama ajiuze mwenyewe? Its aselfish decision, period!
akiuza mkewe atapata wapi wa kumzalia mtoto mwingine...??? usiombe ukutwe na UFUKARA( umaskini uliokithiri)
Mkuu watu8 ci aende yeye akatumikishwe huko kuliko kumuuza mkewe au mtoto wake..! Kuwa fukara hakutoi justification ya kuwatoa watoto wadogo kama malipo..
usiombe ukutwe na UFUKARA wa akili( ujinga uliokithiri).akiuza mkewe atapata wapi wa kumzalia mtoto mwingine...??? usiombe ukutwe na UFUKARA( umaskini uliokithiri)
What the heck is this? Si angeuza mkewe ama ajiuze mwenyewe? Its aselfish decision, period!
Mtoto Najima mwenye umri wa miaka 6 ameozwa na baba yake mzazi nchini afughanistan.
Najima anatakiwa kuchukuliwa na mme wake mwaka kesho atakapofikia umri wa miaka saba tu.
Baba wa mtoto huyo anadai amefikia uamuzi huo kutokokana na ugumu wa maisha nchini humo na wingi wa madeni.'najisikia huruma na machungu ila sina jinsi' anasema baba yake najima,
Najima mwenyewe amefahamu hilo kupitia kwa watoto wenzake mjini kaburi ambao wazazi wao wanamdai baba yake.'nimeambiwa nitaolewa na wameshalipa pesa mm sina la kupinga'
Inakadiliwa kuwa familia nyingi nchini afghanistan zinaishi maisha duni ndani ndani ya kambi za wakimbizi
Ukoo wa baba yake Najima umelidhia kuozwa kwa najima huku sheria za nchi zikizuia jambo hilo
ahahahahahah..mkuu umeua:happy:mkuu hii dunia ina mambo ya AJABU na tushukuru Mungu kutuweka hata hapa TANZANIA ambapo tunalalamika kuna umaskini...UFUKARA ukikithiri huwa kuna matukio ya ajabu watu hufanya pasipo kudhamiria, mathalani hapo Somalia kuna wakati kulikuwa na njaa kali(njaa ni sehemu ya ufukara), basi ikitokea tu mtu UMEJAMBA, basi watu wanakuua wakidhani kwako kuna chakula, maana haiwezekani mtu UJAMBE kama hujala...
usiombe ukutwe na UFUKARA wa akili( ujinga uliokithiri).
nimeongezea hapo bold
Lakini nasikia hata marehemu mtume alioa bint wa miaka9.
Kwani nayo ilitokana na umaskini wa wazazi au ni vipi!?