lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,447
Maneno kutoka kwenye wimbo waPole sana Masoud Kipanya
Pumzika kwa amani Malcom
Alikuwa kijana jasiri sana, aliyejiamini na mwenye furaha wakati wote pamoja na health challenges alizokuwa nazo.
Sentesi yake ya mwisho niliyoisoma kwenye insta page yake. Nanukuu....."Celebrate me now when am alive...appreciate me when am alive"
Rest In Peace Malcom
Patoranking - Celebrate