TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

Mama wa huyu Malcom walishaachana na Masoud anaitwa Sarah Chande....Masoud Ana mke mwingine anaitwa Salma.....wote warembo Ila mi nampenda Sana Sarah..mama yake Malcom
Huyu salma yupo kwenye mitandao fb au insta? Nataka nimjue na anatumia salma nani? Na ni mke huyu mmoja wa masudi au yupo mwingne coz kuna mtu anadai wapo wawili
 
Tafiti zinaeonyesha 1 in 3500 live birth huzaliwa na DMD; most affect males than females; death is due to pulmonary/ cardiac failure during the 2 nd of 3 rd decade of life.

R.I.P Malcom.
 
Story yake imenisikitisha sana

Kaka Malcom nakuombea upate Pumziko lililo jema na Mungu akupokee

Masoud Kipanya pole mno kwa msiba
 
Huyu salma yupo kwenye mitandao fb au insta? Nataka nimjue na anatumia salma nani? Na ni mke huyu mmoja wa masudi au yupo mwingne coz kuna mtu anadai wapo wawili
Salma yupo insta Ila huwa hajipost yeye anampost mume na watoto tu anatumia salma_masoudkipanya....kuhusu kuwa na wake wawili mi sijui kwa kweli...mi nlikiwa najua anahuyo mke mmoja
 
Kipanya anapewa pole sana sababu yeye ni maarufu, lkn pia sio tatizo mmoja kuacha kazi kumhudumia mtoto wakiacha wote nani atatoa esa za matibabu? Chakula? Unajua kua alikua anahitaji special treatment? Nani angecover hizi costs wote wakikaa nyumbani kuhudumia mgonjwa. Kwangu wote they deserve kupewa pole na zikizidi kwa masoud sio issue kwa kua anajulikana zaidi.
Sisi ni wa Allah na

Baba Kipanya was supposed to show up and step up!

huwezi kuwa mtu wa kurusha Tigo-Pesa wakati mzazi mwenzako anamsafisha mgonjwa kinyesi miaka nenda rudi halafu ukadhani inatosha. Ndio maana kijana katoa shukurani za dhati kwa Mama.

Mtoto kafa na ushuhuda na hakuna alipoandika Baba Kipanya alimtunza kihali, kimali, au kimwili kama Mama aliyeishi akijipinda, kumgeuza na kumsafisha mara kadhaa kiwa siku miaka 17 mfululizo.

Munyanz Mngu Subhana Wa Taala amlaze pema peponi marehemu kijana Malcolm , lakini pia ampe kheri na neema Mama Mzazi wa marehemu.

Mama tupe namba yako ya kupokelea rambi rambi.
 
Amin thuma amin
Elimu kdg kama hutojali tunapaswa kumuomba Allah amuepushe na adhabu ya kaburi kwani hata adhabu yake ikiwa ndogo bado hatuwezi kuistahimili.
Mungu tunamwomba ampe pepo na kumuepusha na adhabu ya kaburi
Dini kuelekezana tunajifunza kwa ma Sheikh km nyie kila siku asante Mash-Allah
 
Back
Top Bottom