Mtoto wa maskini unasomaje H kunani? au Taaluma za art

Kwahio wewe mapenzi yako unachopenda ni kitu fulani basi tu uende kwenye fani fulani sababu upate pesa (Ndio maana Stress ni nyingi na watu maisha yao ni utumwa wa pesa); Ushuari tunapoelekea nguvu kazi au ajira zinapungua by the day; automation na Technology imehakikisha hayo..,

kwahio fanya unachopenda mwisho wa siku hata mambo yakienda haywire atleast uta-enjoy the ride....

Watu mnasingizia kupenda art kisa mauvivu yenu yakusoma sayansi mtu huna kipaji unasema kweli unapenda art? Huu ni uwongo.
 
Hivi hapa unadhani unaongea na mtu aliyesomea masomo gani (after all binafsi ni self taught na nimegusa sekta tofauti, tofauti, haimaanishi kama naweza kufanya dissection na napenda kuchakata namba basi sivutiwi na poetry)

Naomba nikuulize mtu unasoma Sayansi ili iweje au ikisaidie kwenye nini au unasoma arts ili iweje na ikusaidie kwenye nini ? Naweza nikakwambia hata kwenye arts unaweza kutumia scientific approach;

By the way unavyosema Arts unamaanisha nini ? Je unamaanisha haya masomo
(arts and humanities include languages (both ancient and modern), literature, philosophy, religious studies, history, anthropology, linguistics, history, theatre, art history and theory, classical studies, music, creative writing, psychology, sociology, cultural studies, visual culture)
Sasa niambie nini sio cha kupenda katika uchunguzi wa tumetokea wapi, au mambo ya burudani..., yaani unaweza kuniambia mtu kama Diamond anayeimba (hafurahii anachofanya)? Au watu wa kwenye Music Industry ?; Yaani unless ni daktari na ana wito / au ni mchunguzi wa kugundua madawa mapya na tiba mpya ni wachache sana wanaoishi hobbies zao kama watu creative..

Like I say to each his/her own.... (mfano wewe hupendi kuwa na watu karibu na unaona labda wachafu au unaogopa damu alafu ukawe daktari sababu ni mshahara ni mzuri au uliweza kupata A, A, A kwenye PCB ?!!!!)
 
Sasa kusoma kama hobby ni tofauti na kusoma kama professional
 
Make your hobby your professional....; Ndio maana nilipoanzia kutokana na technology na automation kazi huenda ambazo zitabaki ni (Caring na Hospitality) nyingine zote can be automated; Hata Medicine Diagnosis a Computer can do it better....
 
Back
Top Bottom