Mtoto wa mama wa kambo ananitega

Mtoto wa mama wa kambo ananitega

kama una miaka zaidi ya 25 hama nyumbani ukajitegemee.
 
Shule za kata...Lowasa njoo huku

cc rubii
 
Last edited by a moderator:
Bila salam nataka niwaeleze mtihani nilionao

Babangu ana wake wawili wote anaishi nao katika nyumba mbili sehemu moja na tunaishi vizuri tu kama familia moja kama mgeni huezi jua jinsi tunavopendana ndani ya nyumba hizi,sasa huyu bimdogo alivoolewa alikuja na mtoto wake wa kike alikua ana miaka kama 8 hivi tumeishi pamoja kama mdogo wangu na nishamwakilisha mzee kwenye vikao shule ya msingi kama kaka wa huyu binti,

Sasa sasahivi kakua na kuvunja ungo na ni mzuri mashaallah yupo form three sasa shule anayosoma ni shule ya kata mi nilisoma kama 5 years back ambayo haipo mbali na tunapokaa na hapo shuleni niliacha CV ya kua mtukutu,handsome na kushobekewa na wasichana na mwisho wa siku mi ndo nilikua katika wanafunzi waliofaulu vizuri sana na kuwashangaza walimu.

Sasa huyu dogo sijui kimemsibu nini lakini siku hizi ananiletea mambo ya mitego mitego sana mpaka namshangaa ukicheki namuona kama mdogo wangu na mama yake kama mamayangu kwa jinsi tulivoishi, dogo amekua mi nikija home basi huyo kajileta mara sijui nimfundishe hiki mara hiki lakini namfundisha anayatega manyonyo yake wazi,mara anisifie nilivopendeza au kunyoa na mimi nashndwa kumkazia sababu yeye anajua siri nyingi zangu kama ashawahi nifumania nakunywa pombe(sisi ni watu wa dini sana)akanikaushianishaleta wanawake home yeye akajua akakausha plus alikuja ndgu yao home nikamla akajua na akakausha.

Sasa kumuekea sura ngumu nashindwa naona akijua atalizua lolote na nikaanza kumkwepa sasa leo kanipa daftari lake et niingalie kazi yake ya essay kama kapatia alafu yeye akaondoka nilichokikuta sikuamini,mtoto huyu nyuma kaandika kama mashairi ya kunisifia na mapenzi ambayo na uhuni wangu sijawahi kuyasikia sijui kayapata wapi nilichofanya nimechana hizo karatasi sasa wadau naombeni ushauri nimfanye nini?Na kwanini mimi?Nini kimemshawishi wakati anajua mimi ni kaka yake japo si wadamu?

Japo mimi napenda papuchi ila ya huyu siwezi sababu namuona ni mdogo wangu na nalinda heshima yangu na nataka nilitatue hili tatizo kimakini zaidi na lisifike kwa wazee lisije likaleta uhasama na akaniharibia na mimi.

Please nawaomba ushauri ki ukweli sina raha

Hama nyumba kapange
 
Tatizo la vijana wa bongo sasahiv uzungu mwingi sana huyo hakuna cha kuhofu ukimgegeda utajuta, nafuu impact za kumkanya
 
UbuntuX wewe ni pimbi kweli. Sasa wadau wanakushauri af wewe unawajibu shobo zako hapa. We mgonge tu kama una hamu. Lkn kuuliza watu hapa af unanza kuongea pumba mbele ya watu wazima huo ni undoroooobo!! Kwanza hukua na haja ya kuomba ushauri wakati ur matured enough as ur saying una 24yrs!!! Jiongeze kijana hayo ndo majaribu. Shughulisha akili zako. Sio kujisifia u handsome boy na umalaya hapa.
 
ubuntuX sikushauri kabisa umle ndugu yako, huyo ni ndugu yako kabisa usiguse, ila utamsaidiaje na hiyo balehe yake?hapo ndipo penye shida...mlengeshe mahali afumuliwe
 
Last edited by a moderator:
UbuntuX wewe ni pimbi kweli. Sasa wadau wanakushauri af wewe unawajibu shobo zako hapa. We mgonge tu kama una hamu. Lkn kuuliza watu hapa af unanza kuongea pumba mbele ya watu wazima huo ni undoroooobo!! Kwanza hukua na haja ya kuomba ushauri wakati ur matured enough as ur saying una 24yrs!!! Jiongeze kijana hayo ndo majaribu. Shughulisha akili zako. Sio kujisifia u handsome boy na umalaya hapa.
mkuu mi nilichoomba hapa ni njia ya kihekima ya kuondoa hili tatizo sikuuliza kama nimgegede au lah,mbona mnakua wagumu kuelewa?
 
mkuu mi nilichoomba hapa ni njia ya kihekima ya kuondoa hili tatizo sikuuliza kama nimgegede au lah,mbona mnakua wagumu kuelewa?

kuna mdau hapo juu kakushauri vizuri, kakuambia hama home ukapange.
 
kumkanya na kua serius naweza,ila reaction yake baada ya hapo ndo naihofia

Mimi nakushauri usimuendekeze kuwa karibu sana na wewe, mfano kuja chumbani kwako mwenyewe. Akivaa kihasara hasara mwambie akabadilishe avae vizuri na wala usimchekee - be serious. Akikuona uko serious basi na yeye atajiheshimu.

Akiamua kukusambazia siri zako wewe jikaushe ki'Sheggy Sheggy' - kama vile 'it wasn't me' (unaikumbuka ile nyimbo yake?)

Please please please usisikilize ya akina Palyang'ei, hizo hasira za mama yako mdogo, mama mzazi naye ataingia hapo pamoja na baba yako zitakuwa hazina kipimo.
 
Usijaribu huyo ni dada yako tayari. ukithubutu kuna laana itakuandama maisha yako yote
 
sorry kazi ya dushe ni nini? ukiachana na kujojoa? haya itendee haki dushe fasta
 
Piga huyo bahati haiji Mara mbili. Afu mdogo wako ni yule uliezaliwa nae tu
 
ubuntuX fanya ujitegemee mwenywe uepukane na hilo dhahama cos unaweza ukamkwepa huku akakudhulia jingine ...istoshe umeshakuwa mkubwa katafte maisha yako
 
Last edited by a moderator:
fanya hiv,kama yuko dar,nitumie namba yake halafu umwambie kuna jamaa yako anamtaka.kazi itakuwa imeisha.ucpate taavu ndugu.
 
Back
Top Bottom