Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,897
- 3,706
kwanza, shule za kata hamna handsome.
pili, we kama kaka mdogo wako anapata wapi ujasiri wakufanya upuuzi kama huo? hii inaonyesha wewe ni kaka kilaza
tatu, inaonyesha ushachukua maamuzi nainawezekana ushambandika huyu mdogo wako kutokana na hali hii binafsi sina ushauri wakukushauri.
nne, kama hili ni tangazo la u handsome wako, je? umelilipia