funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,650
- 21,488
kumkanya na kua serius naweza,ila reaction yake baada ya hapo ndo naihofia
wewe bado ni mtoto (kula kulala) halafu unataka kunyea kambi. Huyo ni dada yako mkanye kistaarabu tu atakuelewa mwite mweleze kuwa huwezi fanya hicho kitu kwa kuwa yeye ni dada yako mna undugu nyie kwa kuwa wadogo zako waliozaliwa na baba yako pamoja na huyo mama wanawaunganisha damu kitaalam kuna vinasaba vya mama yake kwa wadogo zako wa baba mmoja.
Ukitembea nae utamkosea adabu baba yako, mama yako, mama yako mdogo wadogo zako na familia yako yote. Huyo binti wala hatalaumiwa maana wanawake wakivunja ungo uwa wanakuwa na mihemko ambayo inawafanya wasahau hata undugu mlio nao.
Ongea nae mweleze ikishindikana mueleze mzee yoyote jirani au mama yoyote nje ya kwenu anaweza kumwita na kumuelekeza