Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
Chagua size yako na je utajuaje labda mwanae ni fundi zaidi ? Ila si vizuri kula wenye umri sawa na mama yako
wewe kweli ni Great Thinker...Yani huyo mama anamiaka 37? Tuchukulie amemzaa mwanae akiwa na miaka 20, Kwo huyo demu kwasasa atakuwa anamiaka 17? Ok fine tufanye ana 18, na wanasema kwa kawaida mwanaume huwa anavutiwa na wanawake aliowapita miaka 3 hadi 4, sasa tukipiga hesabu hizo inamaana wewe utakuwa na miaka 21,???
WELL
nipe no ya mama yako!Kuna mama ana miaka kama 37, mama yuko manshallah tu na alinipenda nkapiga show, nikazoea nae akawa kama demu wangu, sasa mama huyu ana binti nae kanipenda japo yeye sijapiga show ila kanambia anataka tuoane,. Naogopa kimwambia ukweli. Msaada wakuu nahisi ata nikiwa nae sitamuacha mama yake maana ni fundi haswa
Safi sana kaka Hutu dogo katunga stori eti anogeshe jukwaa hajui kuna wataalam wa hesabu kwenye mapenziYani huyo mama anamiaka 37? Tuchukulie amemzaa mwanae akiwa na miaka 20, Kwo huyo demu kwasasa atakuwa anamiaka 17? Ok fine tufanye ana 18, na wanasema kwa kawaida mwanaume huwa anavutiwa na wanawake aliowapita miaka 3 hadi 4, sasa tukipiga hesabu hizo inamaana wewe utakuwa na miaka 21,???
WELL
Ha ha ha...fiksi ya wazi wazi,wanamzuga tu kwa ushauri.Watu wanajipinda kutoa ushauri kwenye hizi fiction
akyanani nimecheka kwa sauti mpaka watu wameshangaaMwambie mama yako
Hii ndio JFSafi sana kaka Hutu dogo katunga stori eti anogeshe jukwaa hajui kuna wataalam wa hesabu kwenye mapenzi
JF raha sana, mkuu umenifanya nicheke kwa sauti sanaHuyo ni mtoto wako. Usijaribu.
Kwani dhambi kubeba jimama? Sugarmummy. acha wivu ww. Mwache afaidiYani huyo mama anamiaka 37? Tuchukulie amemzaa mwanae akiwa na miaka 20, Kwo huyo demu kwasasa atakuwa anamiaka 17? Ok fine tufanye ana 18, na wanasema kwa kawaida mwanaume huwa anavutiwa na wanawake aliowapita miaka 3 hadi 4, sasa tukipiga hesabu hizo inamaana wewe utakuwa na miaka 21,???
WELL
Kwenye picha ni wewe?Tamaa mbaya mkuu! Bora usimuoe huyo binti, hautakua unamtendea haki kabisa. Utamlaje mama na binti yako? Yatakutokea puani..